LordMasele III
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 316
- 291
Mkuu niazime dictionary kwanza maana huu ung'eng'e naona vumbi tu.He speaks to empty chairs… nobody can entertain the lies any more.but I can’t help thinking, if this is how they all feel, then why is there no action? All that is required for evil to flourish is for good men to do nothing
Netanyahu mpaka aibu
We kenge msafisha vyoo Tela Aviv anzeni kusafisha vyoo karibu Hezbullah atakinukisha hukoChuki tu dhidi ya Wayahudi ndizo zinazomtesa Mwarabu-Koko huyo!!
Sasa anaekuja ndio hatari zaidi, Iran itakuwa kifusiUchaguzi Netapaka Chali.
Hatoboi.
Hawa jamaa wana arrogance ya kishetani kabisa aisee, no wonder kuna dini zinamuita mtoa roho kwa jina lao.Idadi kubwa ya wajumbe wa Umoja wa Mataifa walitoka nje ya ukumbi wakati Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alipoanza kutoa hotuba yake katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa uliowakutanisha viongozi wa mataifa mbalimbali Septemba 24, 2025.
Netanyahu aliwaita walioondoka kuwa “waoga kimaadili”, huku akiwaambia wengine ambao walikuwa na mtazamo kama huo kuondoka pia kabla hajaanza kuzungumza.
Netanyahu mpaka aibu
Dozens of delegates at the United Nations walked out of the hall when Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu began his speech to the General Assembly meeting of world leaders on Thursday.
Describing them as "moral cowards," he asked for anybody else who felt that way to leave before he began to talk.
Source: Reuters
Endelea kujifariji.Sasa anaekuja ndio hatari zaidi, Iran itakuwa kifusi
Yani jamaa hata ukimuangalia uso wake wa kukata tamaa. Pia mada zake ni zile zile siku zote hazina mashiko. Viongozi washaanza kumuona hana la maana ndio maana hawamsikilizi tena. Na hapa ni EU na USA ndio wanamkingia kifua,siku hayo mataifa nayo yakiacha kumkingia kifua Israel itaanguka vibaya sana.Idadi kubwa ya wajumbe wa Umoja wa Mataifa walitoka nje ya ukumbi wakati Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alipoanza kutoa hotuba yake katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa uliowakutanisha viongozi wa mataifa mbalimbali Septemba 24, 2025.
Netanyahu aliwaita walioondoka kuwa “waoga kimaadili”, huku akiwaambia wengine ambao walikuwa na mtazamo kama huo kuondoka pia kabla hajaanza kuzungumza.
Netanyahu mpaka aibu
Dozens of delegates at the United Nations walked out of the hall when Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu began his speech to the General Assembly meeting of world leaders on Thursday.
Describing them as "moral cowards," he asked for anybody else who felt that way to leave before he began to talk.
Source: Reuters
🇮🇱 A huge chunk of the world walked out of the UN hall before Netanyahu’s speech.
This map shows the countries that left, stretching across Latin America, Africa, the Middle East, and parts of Europe and Asia.
Brutal visual.View attachment 3677485
Kwa hiyo Allah ameshindwa kufanya kitu kabisa, mpaka albadir imeshindikana kufanya kitu kwa hawa huyu mtu??Endelea kujifariji.
Kama operesheni ya siku 12 Trump ilibidi aingilie kati na wale ni akina mama wa Zahra Battalion.
Nataka nione sio kusikia story za NETFLIX MOSSAD.
Kwa hiyo Allah ameshindwa kufanya kitu kabisa, mpaka albadir imeshindikana kufanya kitu kwa hawa huyu mtu??We kenge msafisha vyoo Tela Aviv anzeni kusafisha vyoo karibu Hezbullah atakinukisha huko
Kwa hiyo Allah ameshindwa kufanya kitu kabisa, mpaka albadir imeshindikana kufanya kitu kwa hawa huyu mtu??Yani jamaa hata ukimuangalia uso wake wa kukata tamaa. Pia mada zake ni zile zile siku zote hazina mashiko. Viongozi washaanza kumuona hana la maana ndio maana hawamsikilizi tena. Na hapa ni EU na USA ndio wanamkingia kifua,siku hayo mataifa nayo yakiacha kumkingia kifua Israel itaanguka vibaya sana.
Akili zako fupi mnoo .Kwa hiyo Allah ameshindwa kufanya kitu kabisa, mpaka albadir imeshindikana kufanya kitu kwa hawa huyu mtu??
Taifa teuleEndelea kuteseka na Taifa teule!!!!
Sawa mama,Akili zako fupi mnoo .
Ulipaswa kuwa Ng'ombe kwenye mradi wa Bashe.
Wacha weee! Yahudi mweusi wa Nzega vijijini.Endelea kuteseka na Taifa teule!!!!
Jokate waabudu Ng'ombe hawataki shobo zenu zaidi ya viboga hivyo.Sawa mama,
Lakini naona ili msiteseke labda mumsomee albdadili kwa Allah itawasaidia zaidi.
Yesu hawezi kurdia huko yaani muda wpte asikie harufu za mikundu.Taifa teule
Endelea kuteseka na Taifa teule!!Taifa teule
Endelea kuteseka na Taifa teule!!