Kmmkπππ€£π€£
Hapa ni baada ya kushiba na wengine kukosa chakula?
Imetokea wapi huko aisee?? Duh! Kila mshiriki anamtambua adui yake na anamfuatilia kumpa kisago. Very interesting.
Aliiandaa tangu jana yake ila tu bahati mbaya sheikh hakuwa na shabaha.Kuna ngumi Moja ya sheikh ubwabwa ingempata mtu tungekuwa msibani
Wanajuana ,hivi Unajua ndani ya sunni Wana Itikadi tofauti na wanachukiana humo humo ,Kuna Hawa wanaoshiriki maulidi na kunawaoikataa ,wanaitana makafiri ,wanajuana vzr, akifa Itikadi hii ,wanafurahia kabisaImetokea wapi huko aisee?? Duh! Kila mshiriki anamtambua adui yake na anamfuatilia kumpa kisago. Very interesting.