Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.

Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao.

Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa ya kwao na pale makao makuu ya zamani ya Bolt there is a whole hotel ambayo bado haijaisha wameichukua. Hata pake Palm Village kuna a restaurant ya kichina.

Huko Masaki , mbele ya Warehouse kuelekea International School of Tanganyika kuna restaurants na sehemu kama 4 kwa ajili ya Wachina tu. Homecity 2 zote ya Mikocheni na Mlimani City ni za kwao

Yaani kuna mtaa wa pale juu karibu na Morocco Square kote kumejaa Wachina tu

Pale kwenye nyumba za TBS, wamechukua nyumba nyingi wameweka garage na indoor small industries.

Ndani ya miaka 5 Masaki na Mikocheni inaenda kuwa ni mji wa kichina. Hata wapiga kura wanaenda kuwa wachina
 
Wachina Wana plan ya mbali sana. Wachache sana watakuelewa. By the time USA wamekuja kugundua it was already too late.
 
mtu mweusi hua ni mbaguzi sema ngozi yake inakua kama kinga ikiguswa. kwa marekani wanaita reverse racism.

ulichoandika hapa unaonesha wewe ni mbinafsi na mbaguzi

hiyo mitaa uliyotaja hakuna wachina wengi kias hiko umekuza jambo ili upate attention
 
Hahahaha, sio wengi ila hizo alizotaja karibu zote ni kweli..
 
Utandawazi.

Hata ukienda south Africa Kuna mtaa umejaa Watanzania

Huko South Africa ni wabongo wangapi unaowajua wanamiliki supermarkets na mahoteli na kuyabadilisha kuwa kama sehemu zao.

Yaani unawachukua waganga njaa wanaoenda South Africa, unawafananisha na Wachina ambao wanashiriki mpaka kwenye mikutano ya ndani ya CCM?
 
Wakuu,

Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.

Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao.

Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa ya kwao na pale makao makuu ya zamani ya Bolt there is a whole hotel ambayo bado haijaisha wameichukua. Hata pake Palm Village kuna a restaurant ya kichina.

Huko Masaki , mbele ya Warehouse kuelekea International School of Tanganyika kuna restaurants na sehemu kama 4 kwa ajili ya Wachina tu. Homecity 2 zote ya Mikocheni na Mlimani City ni za kwao

Yaani kuna mtaa wa pale juu karibu na Morocco Square kote kumejaa Wachina tu

Pale kwenye nyumba za TBS, wamechukua nyumba nyingi wameweka garage na indoor small industries.

Ndani ya miaka 5 Masaki na Mikocheni inaenda kuwa ni mji wa kichina. Hata wapiga kura wanaenda kuwa wachina
Unawaona wachina tu,ila husemi kuhusu wahindi kukamata asilimia 80 ya uchumi wenu.mitaa ya katikati ina maghorofa zaidi ya mia na yamejaa wahindi tu.miafrika bana
 
Umejibu kama kijana wa UVCCM.

Ni watanzania wangapi wanamiliki supermarket, hoteli, na restaurants huko Guangzhou?

Una akili timamu?
Wewe ndio nina wasiwasi na akili zako au hujawai kwenda nchi za watu kuona watu wanachangama vipi? Tatizo mnajichimbia tu hapa bongo. US kuna wachina na wahindi kibao kuliko hata hapa kwetu.
 
Wakuu,

Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.

Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao.

Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa ya kwao na pale makao makuu ya zamani ya Bolt there is a whole hotel ambayo bado haijaisha wameichukua. Hata pake Palm Village kuna a restaurant ya kichina.

Huko Masaki , mbele ya Warehouse kuelekea International School of Tanganyika kuna restaurants na sehemu kama 4 kwa ajili ya Wachina tu. Homecity 2 zote ya Mikocheni na Mlimani City ni za kwao

Yaani kuna mtaa wa pale juu karibu na Morocco Square kote kumejaa Wachina tu

Pale kwenye nyumba za TBS, wamechukua nyumba nyingi wameweka garage na indoor small industries.

Ndani ya miaka 5 Masaki na Mikocheni inaenda kuwa ni mji wa kichina. Hata wapiga kura wanaenda kuwa wachina
Umesema kweli kabisa! Hata vibao barabarani vya kuelekeza hizo hoteli na hospitali zao vimeandikwa kwa Kichina. Bora wangekuwa wanaweka na maandishi ya Kiswahili pia katika vibao hivyo.
Huko kwenye maeneo yenye madini nako wamekuwa wengi wakiwa kama wachimbaji wadogo. Binafsi naona kama kuna hatari huko mbele, labda ni hisia tu....
 
mtu mweusi hua ni mbaguzi sema ngozi yake inakua kama kinga ikiguswa. kwa marekani wanaita reverse racism.

ulichoandika hapa unaonesha wewe ni mbinafsi na mbaguzi

hiyo mitaa uliyotaja hakuna wachina wengi kias hiko umekuza jambo ili upate attention

Huna tofauti na wale blacks wa Marekani ambao wakiulizwa chochote wanakimbilia kusema wazungu ni wabaguzi. Acha kuwapa labels watu ambao huwajui.

Hebu tupe namba wako wangapi maana umesema "hawako wengi" kiasi hiko.

Ulitaka wawe at least wangapi ndo ujue kuwa wako wengi?

Back
Top Bottom