The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
The guy is very unique.
Kutojua nini amesema kwa siku moja kt kipindi hiki cha kampeni kunanipa taabu sana. Mwisho wa siku ktk fukua fukua yangu nikakutana na video hii.
Ni somo la sheria kwa Polisi wetu wanaofanya kazi zao kwa mazoea tu badala ya kufuata Sheria. Huyu jamaa ni mtu anayekufanya ujiamini na kukuondolea hofu na mashaka kwa 100%.
Hakuna mtu mwenye shida ya kisheria ambaye asingependa kutetewa mahakamani na Tundu Lissu!
Na kuhusu uchaguzi huu wa 2020;
Tundu Lissu kaleta amsha amsha ya kisiasa tuliyoikosa kwa miaka mitano ya giza la kuzimu. Karudisha hamasa ya wengi kwenda kupiga kura hapo tarehe 28/10/2020.
Katika video hii anawafundisha polisi kufuata na kuzingatia sheria ktk kutekeleza majukumu yao. Very boldly, anatumia nafasi hii pia kuwaonya vikali viongozi wa wauaji wa "wasiojulikana", IGP Siro na TISS boss ndg Diwani At human Msuya kuhusu kulea kikundi cha kihalifu wa kidola kunachofadhiliwa na serikali kuratibu utekaji na mauaji.
Twende kazi, tazama mwenyewe 👇 👇👇👇