Wakuu,
Nimekutana na video ya Waziri wa Elimu Profesa Mkenda kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake.
Akiwa kwenye maadhimisho hayo, Waziri Mkenda alikuwa amekunja kile kitenge na kukiweka begani (kama fashion) the way ambayo tunaona wamama wanawekaga vitenge vyao.
Hii ni fashion ya kichaga kwa mwanaume kuweka kitenge begani au?
If not, Profesa Mkenda kwanini hakushonesha shati au koti la Kitenge?
Kuweka kitenge begani kwa mwanaume maana yake nini? Anataka atutumie ujumbe gani?