Video: Nimeshangazwa na Profesa Mkenda kuweka kitenge kwenye bega kwa style ya kike. Au hizi ndio fashion za kichaga?

Wapumbafu watajadili hili na kuacha kujadili hoja za mabadiliko ya elimu alizoziasisi!!
Mazz endeleeni kujadili vitenge...
 
Hoja za mabdiliko yapi? Au ni hizi hizi za kumaliza chuo kikuu ukajiunge na VETA? Au hizi za kuchanganya combination kama uji na maharage. Kuchanganya Kiswahili, Physics na Kiarabu wewe unaona ni hoja za mabadiliko ya elimu? Bata wahed!
 
Acha kubwabwaja kamateja nimesema watu wajadili mabadiliko ya elimu ili iboreshwe wewe unatoa mifano navihoja vyakijinga ambavyo havina mahusiano! Hata hiyo combi uloisema hakunaga!!
Jitahidi kuandika vyamaana usipitezee mda watu kusoma maujinga alafu utakuta unadegree Tena yaualimu
 
Back
Top Bottom