Nimekutana na video ya Waziri wa Elimu Profesa Mkenda kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake.
Akiwa kwenye maadhimisho hayo, Waziri Mkenda alikuwa amekunja kile kitenge na kukiweka begani (kama fashion) the way ambayo tunaona wamama wanawekaga vitenge vyao.
Hii ni fashion ya kichaga kwa mwanaume kuweka kitenge begani au?
If not, Profesa Mkenda kwanini hakushonesha shati au koti la Kitenge?
Kuweka kitenge begani kwa mwanaume maana yake nini? Anataka atutumie ujumbe gani?
Nimekutana na video ya Waziri wakbi Elimu Profesa Mkenda kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake.
Akiwa kwenye maadhimisho hayo, Waziri Mkenda alikuwa amekunja kile kitenge na kukiweka begani (kama fashion) the way ambayo tunaona wamama wanawekaga vitenge vyao.
Hii ni fashion ya kichaga kwa mwanaume kuweka kitenge begani au?
If not, Profesa Mkenda kwanini hakushonesha shati au koti la Kitenge?
Kuweka kitenge begani kwa mwanaume maana yake nini? Anataka atutumie ujumbe gani?
Huyu kaweka kitenge begani kama wamama wafanyavyo.
Yule DC wa Kisarawe Magoti yeye alishona vazi la kimama (Mama Samia style) na kulivaa na kutaka liwe vazi la taifa!!!
KUTOKA 20 :5
Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao.
Nimekutana na video ya Waziri wa Elimu Profesa Mkenda kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake.
Akiwa kwenye maadhimisho hayo, Waziri Mkenda alikuwa amekunja kile kitenge na kukiweka begani (kama fashion) the way ambayo tunaona wamama wanawekaga vitenge vyao.
Hii ni fashion ya kichaga kwa mwanaume kuweka kitenge begani au?
If not, Profesa Mkenda kwanini hakushonesha shati au koti la Kitenge?
Kuweka kitenge begani kwa mwanaume maana yake nini? Anataka atutumie ujumbe gani?
Huyu kaweka kitenge begani kama wamama wafanyavyo.
Yule DC wa Kisarawe Magoti yeye alishona vazi la kimama (Mama Samia style) na kulivaa na kutaka liwe vazi la taifa!!!
KUTOKA 20 :5
Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao.
Ukisikia kupumbazwa ndiko huku..hizo nguo zinazowekwa picha ya mtu zinatamkiwa jambo kwa anayepokea na kutumia..zingine zinawekewa hata majini, sasa muda wa kafara ukifika baada ya kupata wanachoomba wasaidiwe nyinyi mnaovaa ndio mtatoa..sielewi wamama wa kikristo akili wamepeleka wapi..jambo hili liko wazi kabisa! Mimi siwezi ruhusu mke, Mama au binti kuingia kwenye huu ujinga wa kizembe kabisa..