Video: Nimeshangazwa na Profesa Mkenda kuweka kitenge kwenye bega kwa style ya kike. Au hizi ndio fashion za kichaga?

Mkuu,

Hujaona picha za zamani za Nyerere na Kawawa wakiwa wamevaa hivyo?
 
Na alivyotabasamu sasa, kama humjui unaweza kusema...au basi
 
Rainbow 😂😅
 
au labda na Yeye pia Soda yake ilishaisha Gesi kitambo?
 
Duh!
 
Mwaka wa vituko.
Ingala mzee |Samwel Sitta alikataa kujidhalilisha.
Alisema katika kinyang'anyiro cha Uspika, "sharti lililowekwa limenishinda, ati Spika ajaye lazima awe mwanamke. Hilo limenishinda"
Prof Mkenda sijui hapo yeye angekubaliana au?
 
Mbona ni vazi asili la wachaga?

Mangi meli,

Huyu MANGI Marialle kama Sijakosea.

Mangi ama viongozi wengi wa KI Africa zamani walikua wakivaa Nguo then kunakuwa na kitambaa juu wanaweka begani.
 
Mwaka wa vituko.
Ingala mzee |Samwel Sitta alikataa kujidhalilisha.
Alisema katika kinyang'anyiro cha Uspika, "sharti lililowekwa limenishinda, ati Spika ajaye lazima awe mwanamke. Hilo limenishinda"
Prof Mkenda sijui hapo yeye angekubaliana au?

Huyu hata Uprofesa wake unaanza kunipa mashaka
 
Tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…