Video: Nimeshangazwa na Profesa Mkenda kuweka kitenge kwenye bega kwa style ya kike. Au hizi ndio fashion za kichaga?

Ukishakuwa ccm akili zote zinahama
 
Hapana mkuu ni tofauti.

Vitenge mostly wanavaa wanawake
Kitenge ni aina tu ya kitambaa chenye maua maua mengi it has nothing to do with mwanamke au mwanaume kuna nguo nyingi tu za Vitenge za wanaume
 
Kitenge ni aina tu ya kitambaa chenye maua maua mengi it has nothing to do with mwanamke au mwanaume kuna nguo nyingi tu za Vitenge za wanaumeView attachment 3267824
View attachment 3267825

Mkuu umesoma main body yangu kweli?

Nimesema kwenye body kuwa at least angeshona mashati ya vitenge tungemuelewa.

Lakini kitendo cha kufunga kitenge, na kukiweka begani hayo ni mambo ya kinamama.

Yaani its either angeshona shati la kitenge au angeweka kitambaa au kaniki pale begani.

Lakini kitendo cha kuweka kitenge begani anakuwa anatupa maana ya tofauti
 
Machief wote wa Zamani ni wa mama? Mpaka Nyerere alikua anavaa hivyo ni mmama naye? Hebu Acheni utani kwenye Maisha ya watu, Africa Nzima karibia makabila yote kuanzia South Africa mpaka North Africa kwa berbers utakuta hayo mavazi ya kuweka kitambaa kwenye bega

Ghadafi


Sesotho SOUTH Africa


John msuya Upareni
 
Wamfunge kilemba pia tuelewe moja kuwa nako yuko
 
Uchawa tu
 

Huo ndiyo UCHAWA wenyewe. CHAWA NI SAWA NA MCHAWI tu....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…