PostGE2025 Video nyingi za CNN kuhusu mauaji Tanzania ni AI

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,111
Reaction score
1,952
Ni aibu na fedheha kwa Kituo kikubwa cha habari kama CNN kujinasibu kuwa wana evidence za matukio ya October 29 huku wakiwa hawana evidence hata moja.

Ili kutoa habari kama ile kwa weledi wa kazi za utangazaji basi lazima wange balance story na kupata maelezo kutoka upande wapili ambao ni serikali na jeshi la polisi.

Pili footage nyingi zaidi ya asilimia 90 ni zile walizo kuwa wana forward watu kwenye magroup ya kihuni na page za wana harakati uchwara ..

Zilizobaki ni AI generated na kuziiita satellite image.

Hakuna video hata moja ya CNN ambayo wame rekodi wao wenyewe na kuthibitisha habadi wanazo sambaza.

Ndugu zangu watanzania tuendeele kumuunga mko Raisi wetu tuheshimu mamlaka na tusonge mbele.
 
Ni aibu na fedheha kwa Kituo kikubwa cha habari kama CNN kujinasibu kuwa wana evidence za matukio ya October 29 huku wakiwa hawana evidence hata moja

ili kutoa habari kama ile kwa weredi wa kazi za utangazaji basi lazima wange balance story na kupata maelezo kutoka upande wapili ambao ni serikali na jeshi la polisi

pili footage nyingi zaidi ya asilimia 90 ni zile walizo kuwa wana forward watu kwenye magroup ya kihuni na page za wana harakati uchwara ..

zilizo baki ni AI generated na kuziiita satellite image.

hakuna video hata moja ya cnn ambayo wame rekodi wao wenyewe na kuthibitisha habadi wanazo sambaza .

Ndugu zangu watanzania tuendeele kumuunga mko Raisi wetu tuheshimu mamlaka na tusonge mbele .
Unajua ata maana ya CNN lakini au unadhani ni TBC hiyo.
 
Takataka
 
Nilikua na mda mrefu kidogo sijatoka machozi bila kulia yaan unashangaa yanatoka tu ila jana yamenitoka baada ya kuona yule mama mwanae anamwambia mama amka amka ...lakini mama yake tayafi amekufa harafu kuna mtu anakuja anasema ni AI na anasema tuendelea kutii mamlaka dah😭😭mleta mada hata kama una maslahi furani unapata na utawala huu ifikilie kesho yako pia kila mmoja ana haki ya kudai anacho ona hakipo ama hakipati kwenye nchi yake lakini kuchukua uhai wake kisa madaraka dah !!!
 
Ni aibu na fedheha kwa Kituo kikubwa cha habari kama CNN kujinasibu kuwa wana evidence za matukio ya October 29 huku wakiwa hawana evidence hata moja

ili kutoa habari kama ile kwa weredi wa kazi za utangazaji basi lazima wange balance story na kupata maelezo kutoka upande wapili ambao ni serikali na jeshi la polisi

pili footage nyingi zaidi ya asilimia 90 ni zile walizo kuwa wana forward watu kwenye magroup ya kihuni na page za wana harakati uchwara ..

zilizo baki ni AI generated na kuziiita satellite image.

hakuna video hata moja ya cnn ambayo wame rekodi wao wenyewe na kuthibitisha habadi wanazo sambaza .

Ndugu zangu watanzania tuendeele kumuunga mko Raisi wetu tuheshimu mamlaka na tusonge mbele .
Screenshot_20251116-151315.jpg
 
Unazo busara ukiwa kimya
 
Akili za kitoto kama hizi ndizo zilizotufikisha hapa.
 
Lengo lako tukutukane utoeni sisi wabaya sio?
 
Hizo video wengine tulizona siku nyingi sana hata kabla hazijapelekwa CNN.
 
Back
Top Bottom