Ni aibu na fedheha kwa Kituo kikubwa cha habari kama CNN kujinasibu kuwa wana evidence za matukio ya October 29 huku wakiwa hawana evidence hata moja
ili kutoa habari kama ile kwa weredi wa kazi za utangazaji basi lazima wange balance story na kupata maelezo kutoka upande wapili ambao ni serikali na jeshi la polisi
pili footage nyingi zaidi ya asilimia 90 ni zile walizo kuwa wana forward watu kwenye magroup ya kihuni na page za wana harakati uchwara ..
Zilizobaki ni AI generated na kuziiita satellite image.
hakuna video hata moja ya cnn ambayo wame rekodi wao wenyewe na kuthibitisha habadi wanazo sambaza .
Ndugu zangu watanzania tuendeele kumuunga mko Raisi wetu tuheshimu mamlaka na tusonge mbele .

Em tupe video zako tuone mkuu!!! Unataka kusema kwamba watu hawakufa mkuu?Ni aibu na fedheha kwa Kituo kikubwa cha habari kama CNN kujinasibu kuwa wana evidence za matukio ya October 29 huku wakiwa hawana evidence hata moja
ili kutoa habari kama ile kwa weredi wa kazi za utangazaji basi lazima wange balance story na kupata maelezo kutoka upande wapili ambao ni serikali na jeshi la polisi
pili footage nyingi zaidi ya asilimia 90 ni zile walizo kuwa wana forward watu kwenye magroup ya kihuni na page za wana harakati uchwara ..
Zilizobaki ni AI generated na kuziiita satellite image.
hakuna video hata moja ya cnn ambayo wame rekodi wao wenyewe na kuthibitisha habadi wanazo sambaza .
Ndugu zangu watanzania tuendeele kumuunga mko Raisi wetu tuheshimu mamlaka na tusonge mbele .
Hukusikia kuwa wauaji waliulizwa kutoa ufafanuzi wakagoma??ili kutoa habari kama ile kwa weredi wa kazi za utangazaji basi lazima wange balance story na kupata maelezo kutoka upande wapili ambao ni serikali na jeshi la polisi