Katika lugha ya kivuli, hii ni forensic reconstruction na si porojo, si simulizi za mitandaoni, bali evidence mapping iliyofanywa kupitia vyanzo tofauti, pembe tofauti, na wakati tofauti.
Kazi kama hii haijengwi kwa hisia, inajengwa kwa multi angle verification, kitu ambacho kinapunguza nafasi ya propaganda kuficha uhalisia.
Na hapa ndipo nguvu ya taarifa hii ilipo, yaani kama waliweza kuchambua video 14 ili kutengeneza tukio moja tu la barabarani.
Hii inaashiria ukubwa wa kile walichokiona kwenye jumla ya ushahidi mzima.
Hii ni operation level inayonyesha kwamba simulizi ya "hakuna kilichotokea" imeporomoka chini ya uzito wa uthibitisho.
Kwa kifupi, When professionals commit to reconstructing the truth frame by frame, the cover up collapses pixel by pixel.
Wewe mjinga mtoa mada najua kichwani mwako naomba urudi kawaambia hao waliokituma kuwa CNN ni zaidi ya TISS yenu hata budget Yao ya mwaka ni sawa na wizara zote za TANZANIA