Huko serikalini kuna mvutano mkubwa kati ya serikali kwa upande mmoja na IGP. Mzigo anataka kutupiwa IGP kuwa ndiye mhusika mkuu wa madhila yote hayo. Wanagombana wao kwa wao kuhusu hayo mauaji. Kikwete ndiyo amepotea kabisa, hataki kujumuishwa kwenye lolote, ICC inanukia, travel bans na vikwazo vitaanza kuuma muda si mrefu.Ni aibu na fedheha kwa Kituo kikubwa cha habari kama CNN kujinasibu kuwa wana evidence za matukio ya October 29 huku wakiwa hawana evidence hata moja
ili kutoa habari kama ile kwa weredi wa kazi za utangazaji basi lazima wange balance story na kupata maelezo kutoka upande wapili ambao ni serikali na jeshi la polisi
pili footage nyingi zaidi ya asilimia 90 ni zile walizo kuwa wana forward watu kwenye magroup ya kihuni na page za wana harakati uchwara ..
zilizo baki ni AI generated na kuziiita satellite image.
hakuna video hata moja ya cnn ambayo wame rekodi wao wenyewe na kuthibitisha habadi wanazo sambaza .
Ndugu zangu watanzania tuendeele kumuunga mko Raisi wetu tuheshimu mamlaka na tusonge mbele .
Hayajakukuta?Ni aibu na fedheha kwa Kituo kikubwa cha habari kama CNN kujinasibu kuwa wana evidence za matukio ya October 29 huku wakiwa hawana evidence hata moja
ili kutoa habari kama ile kwa weredi wa kazi za utangazaji basi lazima wange balance story na kupata maelezo kutoka upande wapili ambao ni serikali na jeshi la polisi
pili footage nyingi zaidi ya asilimia 90 ni zile walizo kuwa wana forward watu kwenye magroup ya kihuni na page za wana harakati uchwara ..
zilizo baki ni AI generated na kuziiita satellite image.
hakuna video hata moja ya cnn ambayo wame rekodi wao wenyewe na kuthibitisha habadi wanazo sambaza .
Ndugu zangu watanzania tuendeele kumuunga mko Raisi wetu tuheshimu mamlaka na tusonge mbele .
Kuna jamaa mmoja amesema awamu hii mtaongea hadi kifilsti.Ni aibu na fedheha kwa Kituo kikubwa cha habari kama CNN kujinasibu kuwa wana evidence za matukio ya October 29 huku wakiwa hawana evidence hata moja
ili kutoa habari kama ile kwa weredi wa kazi za utangazaji basi lazima wange balance story na kupata maelezo kutoka upande wapili ambao ni serikali na jeshi la polisi
pili footage nyingi zaidi ya asilimia 90 ni zile walizo kuwa wana forward watu kwenye magroup ya kihuni na page za wana harakati uchwara ..
zilizo baki ni AI generated na kuziiita satellite image.
hakuna video hata moja ya cnn ambayo wame rekodi wao wenyewe na kuthibitisha habadi wanazo sambaza .
Ndugu zangu watanzania tuendeele kumuunga mko Raisi wetu tuheshimu mamlaka na tusonge mbele .
Mpigie Gerishom ๐Ndugu zangu watanzania
Sijui mnadhani CNN ni clouds auto no tbccm?Ni aibu na fedheha kwa Kituo kikubwa cha habari kama CNN kujinasibu kuwa wana evidence za matukio ya October 29 huku wakiwa hawana evidence hata moja
ili kutoa habari kama ile kwa weredi wa kazi za utangazaji basi lazima wange balance story na kupata maelezo kutoka upande wapili ambao ni serikali na jeshi la polisi
pili footage nyingi zaidi ya asilimia 90 ni zile walizo kuwa wana forward watu kwenye magroup ya kihuni na page za wana harakati uchwara ..
zilizo baki ni AI generated na kuziiita satellite image.
hakuna video hata moja ya cnn ambayo wame rekodi wao wenyewe na kuthibitisha habadi wanazo sambaza .
Ndugu zangu watanzania tuendeele kumuunga mko Raisi wetu tuheshimu mamlaka na tusonge mbele .
Hapo ndiyo utajua aibu kwa nani sasa Muuaji,ama anayewasafisha wauaji ama anayewaanua wauaji?Ni aibu na fedheha kwa Kituo kikubwa cha habari kama CNN kujinasibu kuwa wana evidence za matukio ya October 29 huku wakiwa hawana evidence hata moja
ili kutoa habari kama ile kwa weredi wa kazi za utangazaji basi lazima wange balance story na kupata maelezo kutoka upande wapili ambao ni serikali na jeshi la polisi
pili footage nyingi zaidi ya asilimia 90 ni zile walizo kuwa wana forward watu kwenye magroup ya kihuni na page za wana harakati uchwara ..
zilizo baki ni AI generated na kuziiita satellite image.
hakuna video hata moja ya cnn ambayo wame rekodi wao wenyewe na kuthibitisha habadi wanazo sambaza .
Ndugu zangu watanzania tuendeele kumuunga mko Raisi wetu tuheshimu mamlaka na tusonge mbele .
๐๐๐๐๐Hakutakuwa na nywinywi wala nywinywi kipo wapi?
๐๐๐๐๐Unaambiwa huko kondo Kuna askari kibao wanalinda udongo Ili CNN wasije wakazika mbwa halafu wakasema ni waandamanaji.
๐ฎpili footage nyingi zaidi ya asilimia 90 ni zile walizo kuwa wana forward watu kwenye magroup ya kihuni na page za wana harakati uchwara ..
Msaidie maana... Lakini pia busara ni kupinga kwa hojaUnajua ata maana ya CNN lakini au unadhani ni TBC hiyo.
Tuendelee kumuunga mkono shetaniNi aibu na fedheha kwa Kituo kikubwa cha habari kama CNN kujinasibu kuwa wana evidence za matukio ya October 29 huku wakiwa hawana evidence hata moja
ili kutoa habari kama ile kwa weredi wa kazi za utangazaji basi lazima wange balance story na kupata maelezo kutoka upande wapili ambao ni serikali na jeshi la polisi
pili footage nyingi zaidi ya asilimia 90 ni zile walizo kuwa wana forward watu kwenye magroup ya kihuni na page za wana harakati uchwara ..
Zilizobaki ni AI generated na kuziiita satellite image.
hakuna video hata moja ya cnn ambayo wame rekodi wao wenyewe na kuthibitisha habadi wanazo sambaza .
Ndugu zangu watanzania tuendeele kumuunga mko Raisi wetu tuheshimu mamlaka na tusonge mbele .
Iambie dunia sasa...Ni aibu na fedheha kwa Kituo kikubwa cha habari kama CNN kujinasibu kuwa wana evidence za matukio ya October 29 huku wakiwa hawana evidence hata moja