PostGE2025 Video nyingi za CNN kuhusu mauaji Tanzania ni AI

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
kwamba ile video ya mama mjamzito alipigwa risasi ni AI?? kwa taarifa yako ni kwamba video zone ni halisi kbs kama unaishi arusha just ask your neighbours.
 

Na nyie si mtoe documentary yenu ya Wakenya wakichoma mabasi na vituo vya mafuta.
 
Em tupe

Em tupe video zako tuone mkuu!!! Unataka kusema kwamba watu hawakufa mkuu?
 
ili kutoa habari kama ile kwa weredi wa kazi za utangazaji basi lazima wange balance story na kupata maelezo kutoka upande wapili ambao ni serikali na jeshi la polisi
Hukusikia kuwa wauaji waliulizwa kutoa ufafanuzi wakagoma??

".....The ministry did not respond to CNN’s request for comment."
 
Kwa sasa naogopa hata kulima maana CNN wakiona shamba limepaliliwa wanasema ni kaburi la halaiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…