Video: Nyumba ya Tulia Ackson

Video: Nyumba ya Tulia Ackson

Bora tu uJiite brother a.k.a wa kukurupuka

Hayo Ni makazi ya spika bna akitoka kwenye kiti anaacha mjengo kwaajili ya spika mwingine ni nyumba ya serekali
 
Kwetu wapo kibao ndo maana najua. Wewe ujinga wako umekusaidia nini? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mngekuwa wengi ungeshinda kupiga kelele hapa JF?? Unajua maisha ya watu zaidi ya wao wanavyojijuwa, ulishawahi ona wapi au sikia wapi Obama anapiga intro kwamba I Prof Baraka Obama??
 
Kwetu wapo kibao ndo maana najua. Wewe ujinga wako umekusaidia nini? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JF uko hapa toka 2012, kwa hesabu za haraka tu uko kwenye ghorofa ya nne au tano kabisa huko! Lakini utoto mwingi! Andaa maisha ya uzee wako,sio kujua zaidi maisha ya watu!
 
JF uko hapa toka 2012, kwa hesabu za haraka tu uko kwenye ghorofa ya nne au tano kabisa huko! Lakini utoto mwingi! Andaa maisha ya uzee wako,sio kujua zaidi maisha ya watu!

I was set for life kabla hata sijazaliwa. Mjukuu wangu is set for life let alone mwanangu. Ushasikia mali hadi kizazi cha nne ndo mimi sasa kama Ridhiwan Kikwete au mtoto wa Bakhressa au mtoto wa Mengi. Hayo makasiriko mpelekee mzazi wako for your shortcomings. Usinione hapa ukadhani tupo sawa 🤣 🤣 🤣
 
Tulia ni Dr wa kusomea kabisa. Kafanya kazi UD kama Professor kabla ya kwenda bungeni. Kawa mbunge wa kuteuliwa, mbunge wa kugombea na sasa ni Spika. Mme wake ni Director wa taasisi fulani. Nini cha ajabu hapo kumiliko hiyo nyumba? Mnataka mtu afanye kazi afu aishi kwenye nyumba ya nyasi?
Kanifundisha huyo mama.
 
Mngekuwa wengi ungeshinda kupiga kelele hapa JF?? Unajua maisha ya watu zaidi ya wao wanavyojijuwa, ulishawahi ona wapi au sikia wapi Obama anapiga intro kwamba I Prof Baraka Obama??

Naona somo limekuingia saa, kama hujawahi kusikia Obama akiitwa Professor unadhani wakati anafundisha University of Chicago alikua anatumia title gani?
 
Makochi kama yangu,
ana vitenge bongo havipatikani na mie ninavyo,😂
Mjengo wangu mzuri kuliko hilo box lake.
Yeye spika mimi mama ntilie😂
 
Kadanganye wajinga wenzako wa huko Nanjilinji! Uwe na maisha kama kina Riz 1, wewe mbwa???

Jipe moyo tupo sawa if it makes you sleep at night. Wewe umenizidi ujinga na umaskini tu 🤣 🤣 🤣
 
Jipe moyo tupo sawa if it makes you sleep at night. Wewe umenizidi ujinga na umaskini tu [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Wewe umenizidi ujuaji na umasikini tu na viingereza vingi! Wakati hakuna kitu! Mtu uwe busy na mambo yako utapata wapi muda wakicheka cheka?? Njoo ulale kwangu basi siku ya leo!

Na kwa taarifa yako hiyo sio nyuma ya Tulia, ni makazi ya Spika awapo madarakani
 
Kwa hesabu za haraka hiyo nyumba inaweza gharimu shilingi milioni 300 hadi 450.

Spika wa Bunge ana mshahara wa Ubunge pamoja na za Uspika wake na Mkumbuke ana miaka zaidi ya 8 sasa Kama Mbunge..

Kwa mshahara na malupuluku hayo, hawezi kukosa Mkopo wa kuweza kujenga hiyo nyumba kama ni yake kweli.

Kwa mtazamo wangu, nadhani tungejikita kupush upatikanaji wa Katiba mpya itakayowezesha kupungiziwa mishahara na posho hao watu.

Kifupi hao jamaa wa Bungeni ndiyo walaji wakubwa wa Hela za Nchi hii.
Kama kwa kazi ya kugonga meza kupongeza wanalipwa zaidi ya milioni 13 kwa mwezi, nadhani kuna haja zikapunguzwa
 
Watumishi wa serikali wana nyumba nzuri saizi na sio kwamba kajenga kwa miaka 2,mtu anawekeza hata 10 years kwenye nyumba why isiwe nzuri?
 
Wewe umenizidi ujuaji na umasikini tu na viingereza vingi! Wakati hakuna kitu! Mtu uwe busy na mambo yako utapata wapi muda wakicheka cheka?? Njoo ulale kwangu basi siku ya leo!

Na kwa taarifa yako hiyo sio nyuma ya Tulia, ni makazi ya Spika awapo madarakani

Kila mtu anajua sio ya Tulia ila Tulia could very much afford it. Yeye na mme wake wana nafasi na uwezo huo.

Wewe umenizidi umaskini na ujinga tu. Usituone hapa watu bado tunakula matunda ya wazee wetu bado hatujaanza kugusa yetu hatupo sawa 🤣 🤣 🤣

Somo limekuingia wewe. I rest my case.
 
Mtu mzalendo kweli kweli

Asingeweza kukaa nyumba kama hiyo

Anyway hongera zake kwa kukaa kwenye mjumba mkali

Ova
 
Back
Top Bottom