Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
Katika hali ya kushangaza OCD wa Hai ameonekana akimwambia Mbowe hadharani kuwa hawezi kushinda uchaguzi katika jimbo la Hai.

Ikumbukwe kuwa Jeshi la polisi ni miongoni mwa taasisi ambazo zinapaswa kutokuegemea upande wowote katika uchaguzi huu.

Video hii hapa:

 
Alicho kosea Afisa wa polisi ni kusema ukweli, hata wenyewe CHADEMA wanajua kuna majimbo machache sana ambayo wanaweza wakashinda ndio maana hata kwenye kura za urais waneshakata tamaa kabisa.
 
Hili ndilo jeshi letu LA Polisi na fikra zao hasi juu ya upinzani...

Mmesema sana uwongo, sio polisi tu hata wananchi wengi wa Hai wamewachoka.

Kwa miaka 20 watu wa Hai wanaambiwa Mgombea wa CHADEMA ndio atakuwa Rais, hii ndio matokeo yake wananchi wamechoka kuambiwa kitu ambacho hakitokei.

Kila uchaguzi wananchi wanaambiwa kuwa CHADEMA inashinda Urais.
 

E1A9E942-375F-4C87-8D7E-432CD137F172.jpeg
 
Alicho kosea Afisa wa polisi ni kusema ukweli, Ata wenyewe Chadema wanajua kuna majimbo machachesana ambayo wanaweza wakashinda ndiomaana hata kwenye kura za urais waneshakata tamaaa kabisa.
Wewe ni mbumbumbu!Unaelewa kuwa sheria haimruhusu kusema alichosema na ndiyo concern yetu kwenye huu uzi?
 
Hongera OCD nyie askari ninao waita askeri sio wanasiasa wanawapelekesha kama nn
 
Back
Top Bottom