Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

OCD atapewa Lawama bure tu.

Mbowe ndio kamchokoza "......Hata mmbebe vipi huyo mgombea hawezi kunishinda"

Mlitaka asijibu aonekane " kaufyata" kama mnavyopublish.

Akaamua kijimwagaa...Sasa atafanyaje!
Ni kweli mkuu amemchokoza mwenyewe afisa akampa za uso!
 
Natafuta mtu wa kumuoaaaa naona kama wew wafaaa furani hivii
Alicho kosea Afisa wa polisi ni kusema ukweli, Ata wenyewe Chadema wanajua kuna majimbo machachesana ambayo wanaweza wakashinda ndiomaana hata kwenye kura za urais waneshakata tamaaa kabisa.
 
Mwisho wa siku nani alishinda we kenge wa kijani?
Ameshinda wakati amepata za uso kapigwa jua na mbu kwa muda wa masaa 9 hata alichokuwa ameplan kwenda kufanya mkutano wa hadhara akashindwa wananchi akawakuta hawapo akaende kuongea na wanasaccos chumbani. Umeelewa wewe mbumbumbu wa saccos ya chadema!!?
 
Nchi ikishakuwa na watu wanaotawala kidikteta ndio inakuwa hivyo. Hata yule Shana (Rip) naye alikuwa hivyo hivyo.

Polisi wa Tanzania hawana kabisa heshima waliyobakiza, wamekuwa kitengo cha ulinzi cha ccm tu. Very hopeless indeed.
 
#shame
Kamanda Sirro ataingia katika historia kwa kuongoza jeshi la maafande kama hawa, Sirro akiishi mpaka nje ya awamu hii atunge kitabu kujisafisha
 
Back
Top Bottom