Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Waafrika tuna laana gani?
Sijui waje tena wazungu watufundishe ustaarabu?
Sasa kwa mambo haya tulikua na sababu gani ya kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya uchaguzi?
Kwanini tusingefanyia shughuli nyingine ya maana?
Oooh Tanzania, my lovely country.
 
Wewe mbumbumbu mimi niko Mbezi Beach na kwa sasa napata bia hapa Amsterdam Pub. Unafikiri mimi ni sawa na wewe kula kulala njoo nikuajiri kwenye kampuni yangu!
Mwl. Siku hizi umefungua kampuni?hiiiiiiiìiii.
 
Ajira ya uaskari ifike mahali wasiajiriwe watu waliofeli feli hovyo mashuleni
 
Katika hali ya kushangazi OCD wa hai ameonekana akimwambia mbowe hadharani kuwa hawezi kushinda uchaguzi.Ikumbukwe kuwa jeshi la polisi ni miongoni mwa taasisi ambazo zinapaswa kutokuegemea upande wowote katika uchaguzi huu


Link ya video hii hapa:

View attachment 1593384
Yaani kabisa ukaseme hivyo leo?

Ina maana hamjui polisi wanaegemea upande upi?

Alichokosea huyo afande ni kusema ukweli hadharani
 
Mmesema sana uwongo, sio polisi tu hata wananchi wengi wa Hai wamewachoka.
Kwa miaka 20 watu wa Hai wanaambiwa Mgombea wa Chadema ndio atakuwa Rais, hii ndio matokeo yake wananchi wamechoka kuambiwa kitu ambacho hakitokei.
Kila uchaguzi wananchi wanaambiwa kuwa Chadema inashinda Urais.
Uwe unasima vzr. Mbona unajibu vitu tofauti? Ashinde asishinde watu wanajadili nani aliyetoa matamshi hayo.
 
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake haijalishi kazi anayofanya ...
 
OCD atapewa Lawama bure tu.

Mbowe ndio kamchokoza "......Hata mmbebe vipi huyo mgombea hawezi kunishinda"

Mlitaka asijibu aonekane " kaufyata" kama mnavyopublish.

Akaamua kijimwagaa...Sasa atafanyaje!
Kama una watoto nawe siku jimwage mbele yao, halafu subiri response
 
Back
Top Bottom