Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Jeshi la polisi ni miongoni mwa taasisi ambazo hazipaswi kuegemea upande wowote wa vyama vya siasa.Kitendo cha Afsa wako mpendwa kudai kuwa Mbowe hawezi kushinda ni amevunja sheria za uchaguzi
Ila Mbowe yeye hakuvunja sheria kwa hicho alichomwambia Afisa au?
 
Ndiyo njoo nikuajiri wewe kula kulala.
Labda kiwanda cha kuchapisha hizo zaga hapo chini.
Screenshot_2020-09-17-22-19-17-1.jpg
 
Ila Mbowe yeye hakuvunja sheria kwa hicho alichomwambia Afisa au?
Mbowe hajavunja sheria. Mbowe kasema mpinzani wake wa CCM hawezi kushinda. Ana haki ya kusema kuwa mpinzani wake hawezi kushinda.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]sijaona kosa la OCD hapo.

Mbowe kayachokonoa yakamwagikia. Muda wote anaambiwa ingia kwenye gari anapiga tantalila.
 
Kwanini amwambie afisa wa polisi?
Amemwambia afsa wa polisi kwa sababu kwa kufanya hivyo siyo kinyume na sheria.Kama sheria inaruhusu kumwambia Afsa wa polisi na amefanya hivyo, kwani kuna shida gani?
 
Huyo atakuwa amelewa, huwezi kujitengenezea ushahidi katika kipindi hiki cha uchaguzi hapo ameonesha polisi wanavyonyanyasa wapinzani na wakati bado watu hawajatulia.
 
Kichwa kikubwa, ubongo wa sisimizi
Mbowe mgombea anayezidi kuchanja mbuga.
Huyo mlopokaji wenu (OCD) hana mamlaka ya kuwapangia wanainchi mustakabali wa uchaguzi ktk ardhi ya Hai\Klmnjr\au Tanzania kiujumla.
Yeye kazi yake ni kuwalinda wapiga kura na wapigiwa kura.
 
Huyu OCD anatoka ukanda gani wa nchi?

Nakumbuka kazi Kama hizi alizifanya Shana ila Leo yupo wapi? Wananchi wanalojukumu la kupiga Kura, Polisi na yume wanalijukumu lakupingana na wananchi wakidhani wanampendezesha Rais, ila Kama miaka mitano ta Magu ilivyopita ndivyo miaka mingine mitano itakavyopita.

Ila tujiulize haya tunayofanya leo hayawaandai watoto wetu kuwa wakimbizi?
 
Back
Top Bottom