Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Alicho kosea Afisa wa polisi ni kusema ukweli, Ata wenyewe CHADEMA wanajua kuna majimbo machachesana ambayo wanaweza wakashinda ndiomaana hata kwenye kura za urais waneshakata tamaaa kabisa.
kila sehemu mbona unajamba tu mashudu ,usiandike tu bila kuwaza na kucheua pumba kama punda ,yaani unaonekana mweupe hasa ubongo unaonekana mweupe kama unga wa muhogo
 
Alicho kosea Afisa wa polisi ni kusema ukweli, Ata wenyewe CHADEMA wanajua kuna majimbo machachesana ambayo wanaweza wakashinda ndiomaana hata kwenye kura za urais waneshakata tamaaa kabisa.
Naona jamaa zako hapo chini wamekupa like.
 
Nimecheka Sana Yani na huyu afande, mpaka Sina mbavu ,au ni mtani wake na mbowe? Kaingiza utani mpaka kazini,maana naona Kuna mahala mpaka mbowe Kama alitaka kucheka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimeangalia clip ya mvutano wa Mbowe na OCD wa Hai. Maneno aliyoongea huyo OCD kwakweli yanasikitisha sana.

Hivi afisa wa polisi ambaye anatambua kabisa kwamba kwa nafasi yake ya kazi hatakiwi hata siku moja kuwa upande wa chama chochote cha siasa anaweza kumwambia mgombea fulani wewe hutashinda uchaguzi huu kwa namna yoyote ile?

Wakati jeshi la polisi ndio lenye dhamana ya kulinda usalama katika vituo vya kupigia, kuhesbia na kutangaza kura, je kwa msimamo wa huyu OCD jeshi lake litatenda haki kwa Mbowe?

Huyo OCD ni kabila gani? Tuanzie hapo kwanza
 
Yule Mkurugenzi wa NEC mwenye mdomo kama Chai Jaba huwezi msikia akikemea hili.
 
Nimeshakuambia jamaa alikuwa anasema yake ya moyoni. Hajawasemea wananchi, mbona unakuwa mbishi kama Mbowe?
OCD alipayuka.Nimeshakuambia huwezi kujisemea ya kwako ya moyoni kwa kupayuka!Kupayuka ni uthibitisho kuwa hakuwa anajisemea ya kwake ya moyoni
 
Alicho kosea Afisa wa polisi ni kusema ukweli, Ata wenyewe CHADEMA wanajua kuna majimbo machachesana ambayo wanaweza wakashinda ndiomaana hata kwenye kura za urais waneshakata tamaaa kabisa.
Kama wanachechemea basi mwambie Magufuli wagombea ubunge wa upinzani warudishwe wote ??
 
Back
Top Bottom