Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Ajira ya uakari ifike mahali wasiariwe watu waliofeli feli hovyo mashuleni
Sometimes so kwamba waliopo ni waliofeli but ni jeuri na kiburi cha mamlaka, hivyo wanafanya watakavyo wakijua kuwa hakuna madhara!
 
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake haijalishi kazi anayofanya ...
Mkuu haupo sahihi ..huwezi kuwa askari tena kqzini then unajihusisha na siasa tena inekatazwa..ndio maana kila kazi ina maadili yake.
 
Kazi nyingine ni kama utumwa tu,huyo OCD pamoja na utu uzima wake usikute katumwa na Sabaya kufanya huo upuuzi kwa niaba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwann watu hawataki kuona Mbowe alichomwambia OCD kwamba hata mumbebe vp mhombea wenu hashindi?alim provoke OCD hadharani na kilichofanyika naye amejibu mapigo sasa kipi cha ajabu?kama mbwai na iwe mbwai
 
Katika hali ya kushangazi OCD wa Hai ameonekana akimwambia Mbowe hadharani kuwa hawezi kushinda uchaguzi.

Ikumbukwe kuwa Jeshi la polisi ni miongoni mwa taasisi ambazo zinapaswa kutokuegemea upande wowote katika uchaguzi huu....
Ukimsikiliza huyu Afande arafu ukamsikiliza na yule wa jana wa Pwani (Kwa lisu) basi utaelewa kuwa Serikali imelidhalilisha saana jeshi la polisi kwa kupeleka watu wasiojiweza hata kidogo.

Ukifuatilia historia zao lazima watakuwa wanatumia majina ya watu wengine kabisa waliomaliza kidato cha nne hawa sasa sijui ni darasa la nne la zamani yaani manake hata mwanangu wa darasa la tatu hawezi kuwa mbururazi kiasi hiki! halafu hiyo lafudhi yake ni kama vile anatuzalilisha watu fulani kanda ya ziwa ahaa
 
Kwann watu hawataki kuona Mbowe alichomwambia OCD kwamba hata mumbebe vp mhombea wenu hashindi?alim provoke OCD hadharani na kilichofanyika naye amejibu mapigo sasa kipi cha ajabu?kama mbwai na iwe mbwai
Point ni kwamba Mbowe hakuvunja sheria kwa alichokisema ila OCD amevunja sheria kwa alichosema.Hiyo ndiyo tofauti kati ya Mbowe na OCD.

Kuna uwezekano OCD alitegwa na akaingia katika mtego wa kuvunja sheria lakini wewe ukitegwa ili uvunje sheria utaingia kingi kuvunja sheria au utatumia busara kukwepa usivunje sheria?Kwa sababu mimi nikikutega wewe ili uvunje sheria mimi kisheria mara nyingi nakuwa sina kosa.
 
Mmesema sana uwongo, sio polisi tu hata wananchi wengi wa Hai wamewachoka.

Kwa miaka 20 watu wa Hai wanaambiwa Mgombea wa Chadema ndio atakuwa Rais, hii ndio matokeo yake wananchi wamechoka kuambiwa kitu ambacho hakitokei.

Kila uchaguzi wananchi wanaambiwa kuwa Chadema inashinda Urais.
CCM in angola nchi ni mwkaa WA 50 huu lakni mpaka leo ni maskini wa kutupwa kila siku kuomba mabeberu
 
Hapa kuna uwezekano wa kumuondoa huyo OCD asiwepo wakati wa uchaguzi kwa kutumia mahakama ili haki itendeke na ionekane kwamba imetendeka. Mbowe anaweza kujaribu njia hiyo.

Maneno ya OCD yana madhara kwa CCM kwa kuwa hata ikishinda kihalali ushindi huo utakuwa na mashaka.
 
ingawa mm ni ccm, ila yupo mgombea mmoja wa cdm! kiukweli kampeni zake za kistarabu sana, na ningependa kumwona kwenye bunge linalokuja



mpaka sasa, kidogo aliefanya kampeni kistarabu huyu dada!
 
Back
Top Bottom