Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Lakini Mkuu huyu Kamanda amkumbuke yele wa Arusha aliyekuwa akitembea na ilani (Chana R.I.P) Nini kilimpata kabla ya mauti kumfika.
 
Katika hali ya kushangaza OCD wa Hai ameonekana akimwambia Mbowe hadharani kuwa hawezi kushinda uchaguzi katika jimbo la Hai.

Ikumbukwe kuwa Jeshi la polisi ni miongoni mwa taasisi ambazo zinapaswa kutokuegemea upande wowote katika uchaguzi huu....
This is a disgrace to CCM and its police force. This is a justification that the election will not be fair and free. The country is vulnerable to mass unrest.
 
Anaonekana ni msukuma, pia ni form four failure hata ukipima reasoning capacity
 
Alicho kosea Afisa wa polisi ni kusema ukweli, Ata wenyewe CHADEMA wanajua kuna majimbo machachesana ambayo wanaweza wakashinda ndiomaana hata kwenye kura za urais waneshakata tamaa kabisa.
Du! Pole sana. Yaani Pole! Huoni?
 
Mmesema sana uwongo, sio polisi tu hata wananchi wengi wa Hai wamewachoka.

Kwa miaka 20 watu wa Hai wanaambiwa Mgombea wa CHADEMA ndio atakuwa Rais, hii ndio matokeo yake wananchi wamechoka kuambiwa kitu ambacho hakitokei.

Kila uchaguzi wananchi wanaambiwa kuwa CHADEMA inashinda Urais.
Unaijua Hai wewe? Unawajua watu wa Hai?
 
Mmesema sana uwongo, sio polisi tu hata wananchi wengi wa Hai wamewachoka.

Kwa miaka 20 watu wa Hai wanaambiwa Mgombea wa CHADEMA ndio atakuwa Rais, hii ndio matokeo yake wananchi wamechoka kuambiwa kitu ambacho hakitokei.

Kila uchaguzi wananchi wanaambiwa kuwa CHADEMA inashinda Urais.
Chuki za huyu polisi mjinga ndiyo chuki za kila mwananchi wa Hai? Mbona wananchi wamemuzomea? Don't be an idiot.
 
Mbowe anaruhusiwa kusema lolote ila mradi asivunje sheria.Mbowe kumwambia Afsa masuala ya mbunge wa CCM hawezi shinda hajavunja sheria yoyote lakini Afsa kusema kuwa mbowe hawezi shinda amevunja sheria.Hiyo ndiyo tofauti ya Mbowe na Afsa.Nani kilaza hapo?
Yaani mimi siipendi CCM, na natamani waharibu na kuharibinkiwa, lakini pamoja na hayo yule OCD kanikwaza kwa kiwango chake cha kukosa weledi!! Amewharibia sana ccm! Mbowe kamchokoza kidogo tu, kaingia kichwa kichwa! Zero anatakiwa amtumbue kwa kushindwa kuipigania CCM kiueledi!
 
Huyu polisi alipaswa kuvuliwa madaraka Mara moja. Jeshi la polisi limeshaharibiwa sana na siasa. Nawashangaa chadema na wapinzani kutochukua hatua stahiki Mara moja
 
Back
Top Bottom