tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Huyo anafuata maelekezo ya dc wa Hai, yule chokoori wa ArushaAfukuzwe cheo huyo askari.
Hana maadili ya KAZI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo anafuata maelekezo ya dc wa Hai, yule chokoori wa ArushaAfukuzwe cheo huyo askari.
Hana maadili ya KAZI
Mimi nafikiri ujumbe utakuwa ulishawafikia Wahusika ikiwemo Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Hapo kuna mtego kwao.Huyu polis alipaswa kuvuliwa madaraka Mara moja. Jeshi La polis limeshaharibiwa sana na siasa.Nawashangaa chadema na wapinzani kutochukua hatua stahiki Mara moja
Na mimi nashangaaa!!!!!!!!!!Kwani kasema uongo?
nakuhurumia sana unapokuwa mzee halafu mjinga, pamoja na umri wote bado kwenye ubongo umejaa ujingaMbona kapayuka, tatizo liko wapi?
Umefuatilia vizuri clip? Au...! Kwa nini Mbowe aseme kumbe na wewe unajua!! Mimi nilitegemea Mbowe aseme nitamshinda! sijasikia neno hilo kutoka kwa Mbowe! Acheni manipulation!!! Vyombo vya dola viko kazini!Afukuzwe cheo huyo askari.
Hana maadili ya KAZI
Umefuatilia vizuri clip? Au...! Kwa nini Mbowe aseme kumbe na wewe unajua!! Mimi nilitegemea Mbowe aseme nitamshinda! sijasikia neno hilo kutoka kwa Mbowe! Acheni manipulation!!! Vyombo vya dola viko kazini!Afukuzwe cheo huyo askari.
Hana maadili ya KAZI
28/10 hao mapolisi watatueleza vizuri walikoyatoa hayo maneno.Huyo OCDCCM atakuwa anajua mikakati ya wizi iliyopangwa na ccm wakishirikiana na policcm
Mbona unadanganya?Mmesema sana uwongo, sio polisi tu hata wananchi wengi wa Hai wamewachoka....
Yaani mimi nione aibu, wewe vipi?Ukuona aibu alivyozomewa akiondoka..!...
Sisi Watanzania ni waoga mno, huyo OCD uchwara alipaswa kushikishwa adabu ila kwa kuwa uogaaa umezidi wananchi tunaangalia tu.Katika hali ya kushangaza OCD wa Hai ameonekana akimwambia Mbowe hadharani kuwa hawezi kushinda uchaguzi katika jimbo la Hai.
Ikumbukwe kuwa Jeshi la polisi ni miongoni mwa taasisi ambazo zinapaswa kutokuegemea upande wowote katika uchaguzi huu....
Hata mimi nakuhurumia, ngoma droo.nakuhurumia sana unapokuwa mzee halafu mjinga,pamoja na umri wote bado kwenye ubongo umejaa ujinga
Hii mijitu ni mibishi, sijui inambishia nani wakati ukweli upo wazi wazi kabisa.Na mm nashangaaa!!!!!!!!!!
Ameongea ukweli tupu
Huyo mbowe ameshachokwa akae pembeni awaachie wengine
Hata mm nasema mboww hashindi hata afanyeje
"Kunya anye kuku akinya bata kaharisha" Mbowe amebanwa kila kona tusubiri tarehe 28 kuna jambo pale HaiPoint ni kwamba Mbowe hakuvunja sheria kwa alichokisema ila OCD amevunja sheria kwa alichosema.Hiyo ndiyo tofauti kati ya Mbowe na OCD.
Kuna uwezekano OCD alitegwa na akaingia katika mtego wa kuvunja sheria lakini wewe ukitegwa ili uvunje sheria utaingia kingi kuvunja sheria au utatumia busara kukwepa usivunje sheria?Kwa sababu mimi nikikutega wewe ili uvunje sheria mimi kisheria mara nyingi nakuwa sina kosa.
Umetoka usingizini, Akili ndogo inapoamini ni akili kubwa.Alicho kosea Afisa wa polisi ni kusema ukweli, Ata wenyewe CHADEMA wanajua kuna majimbo machachesana ambayo wanaweza wakashinda ndiomaana hata kwenye kura za urais waneshakata tamaa kabisa.
Duuuh uku ndio Tanzania yetu ilipofika?Katika hali ya kushangaza OCD wa Hai ameonekana akimwambia Mbowe hadharani kuwa hawezi kushinda uchaguzi katika jimbo la Hai.....
Kila uchaguzi ndio maneno yenu, watu mliokata tamaa."Kunya anye kuku akinya bata kaharisha" Mbowe amebanwa kila kona tusubiri tarehe 28 kuna jambo pale Hai