Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Ameshinda wakati amepata za uso kapigwa jua na mbu kwa muda wa masaa 9 hata alichokuwa ameplan kwenda kufanya mkutano wa hadhara akashindwa wananchi akawakuta hawapo akaende kuongea na wanasaccos chumbani. Umeelewa wewe mbumbumbu wa saccos ya chadema!!?
Yaani uko ushenzini Chato halafu unatuambia habari za pwani aise kumbe usukuma ni kabila la kijinga kiasi hiki...uliza watu wa mjini watakwambia mchunga mbuzi wewe
 
Huyo afande hana akili sawa sawa.
Hajui dhamana ya cheo chake wala wajibu wake. Anadhani CCM inampenda sana kwa kujaribu kujipendekeza, kumbe inamtumia kama Condom.

Ajifunze kwa waliomtangulia, ambao walitumika na kisha kutupwa kama uchafu.
Mwache atalia na kusaga meno
 
Polisi anawezaje kusema Mgombea wa chama fulani hashindi, Huu si mpango wa kuvuruga uchaguzi?
Ila Mbowe yeye anaweza kumwambia Afisa kuwa atashinda hata wakimbeba mgombea wa ccm au? Mbowe ameyataka mwenyewe basi ayaoge!
 
Kwanini Mbowe alikuwa anamwambia huyo Afisa maswala ya ushindi wake? Hivyo Afisa amemjibu sahihi kabisa! Aliyataka mwenyewe!
Mbowe anaruhusiwa kusema lolote ila mradi asivunje sheria. Mbowe kumwambia Afsa masuala ya ushindi wake hajavunja sheria yoyote lakini Afsa kusema kuwa Mbowe hawezi shinda amevunja sheria. Hiyo ndiyo tofauti ya Mbowe na Afsa. Nani kilaza hapo?
 
OCD atapewa Lawama bure tu.

Mbowe ndio kamchokoza "......Hata mmbebe vipi huyo mgombea hawezi kunishinda"

Mlitaka asijibu aonekane " kaufyata" kama mnavyopublish.

Akaamua kijimwagaa...Sasa atafanyaje!

..na wananchi ambao Polisi walitaka kuwagonga na gari wamekosa nini?

..kwa kweli askari polisi wetu wako very unprofessional.
 
Kwani kasema uongo?
Tatizo ni Polepole, sijui hii ‘propaganda team’ yake anawaikotaga wapi!! Polisi amewaaribia, kwa kuropoka asicho paswa, nyie mnashangilia tu! Polisi pale kaweka tiki kwamba, maneno yanayo semwa kwamba mnatumia dola kushinda ni kweli!

Kaonesha wazi wazi tena kijinga jinga kabisa na bila weledi wowote, kwamba yeye ni policccm, Wewe naye unashangilia!! Mambo mengine tumieni ubongo kidogo tu, unafunika kombe......... sasa huyo afande kesho akitumbuliwa kwa kuihujumu ccm, msivyo kuwa na mshipa wa aibu, mtakenua magego yoooote hapa! #polepoleburekabisa!
 
Afande div 0 hata wajibu wake haujui,ndio mitambo ya ushindi ya CCM hio,safari hii mitambo inalipuliwa kweupe
 
Sio ajabu alichokisema huyo OCD.
Screenshot_2020-09-28-13-58-06-1.jpg
 
Alicho kosea Afisa wa polisi ni kusema ukweli, Ata wenyewe Chadema wanajua kuna majimbo machachesana ambayo wanaweza wakashinda ndiomaana hata kwenye kura za urais waneshakata tamaaa kabisa.
Kwanini mnapiga magoti jukwaani?
 
Yaani uko ushenzini Chato halafu unatuambia habari za pwani aise kumbe usukuma ni kabila la kijinga kiasi hiki...uliza watu wa mjini watakwambia mchunga mbuzi wewe
Mimi niko Mbezi Beach na kwa sasa napata bia hapa Amsterdam Pub. Unafikiri mimi ni sawa na wewe kula kulala njoo nikuajiri kwenye kampuni yangu!
 
Hakuna kura za huruma. Marienge kafanya nini hai?. Lazima aondoke, hana namna.
 
Na Mbowe ni Afisa Uchaguzi?
Mbowe mgombea anayezidi kuchanja mbuga.
Huyo mlopokaji wenu (OCD) hana mamlaka ya kuwapangia wanainchi mustakabali wa uchaguzi ktk ardhi ya Hai\Klmnjr\au Tanzania kiujumla.
Yeye kazi yake ni kuwalinda wapiga kura na wapigiwa kura.
 
Wewe mbumbumbu mimi niko Mbezi Beach na kwa sasa napata bia hapa Amsterdam Pub. Unafikiri mimi ni sawa na wewe kula kulala njoo nikuajiri kwenye kampuni yangu!
Punguani mkubwa wewe yaani nyie misukuma mmekuja mjini juzi manajifanya wajanja ushamba wenu wa kuchunga mbuzi huwa haupotei kenge weee
 
OCD atapewa Lawama bure tu.

Mbowe ndio kamchokoza "......Hata mmbebe vipi huyo mgombea hawezi kunishinda"

Mlitaka asijibu aonekane " kaufyata" kama mnavyopublish.

Akaamua kijimwagaa...Sasa atafanyaje!
Mbowe anaruhusiwa kusema lolote ila mradi asivunje sheria. Mbowe kumwambia Afisa masuala ya mbunge wa CCM hawezi shinda hajavunja sheria yoyote lakini Afisa kusema kuwa mbowe hawezi shinda amevunja sheria. Hiyo ndiyo tofauti ya Mbowe na Afisa.Nani kilaza hapo?
 
Mbowe anaruhusiwa kusema lolote ila mradi asivunje sheria. Mbowe kumwambia Afisa masuala ya ushindi wake hajavunja sheria yoyote lakini Afisa kusema kuwa Mbowe hawezi shinda amevunja sheria. Hiyo ndiyo tofauti ya Mbowe na Afisa. Nani kilaza hapo?
Sheria ipi wewe?
 
Back
Top Bottom