Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Watu waneshachukua ushahidi. CHADEMA kweli wanatumia akili sana kwenye kampeni za uchaguzi wa mwaka huu!!Hili ndilo jeshi letu LA Polisi na fikra zao hasi juu ya upinzani.
Sasa ofisa wa juu wa Polisi kama anaweza kuwa na matamshi kama haya jee hao wachini yake watakuwaje?...
Hili ndilo jeshi letu LA Polisi na fikra zao hasi juu ya upinzani...
Wewe ni mbumbumbu!Unaelewa kuwa sheria haimruhusu kusema alichosema na ndiyo concern yetu kwenye huu uzi?Alicho kosea Afisa wa polisi ni kusema ukweli, Ata wenyewe Chadema wanajua kuna majimbo machachesana ambayo wanaweza wakashinda ndiomaana hata kwenye kura za urais waneshakata tamaaa kabisa.
Kwanini Mbowe alikuwa anamwambia huyo Afisa maswala ya ushindi wake? Hivyo Afisa amemjibu sahihi kabisa! Aliyataka mwenyewe!Wewe ni mbumbumbu!Unaelewa kuwa sheria haimruhusu kusema alichosema na ndiyo concern yetu kwenye huu uzi?
Huyo OCD ni msemaji wa wananchi?Kwani kasema uongo?
Afukuzwe cheo? Ndio umeandika nini sasa?Afukuzwe cheo huyo askari.
Hana maadili ya KAZI
Ni kweli hawezi mshinda!
Huko Machame mbege inanyweka wakati wote na watu wote!