Uchaguzi 2020 Video: OCD wa Hai amwambia Mbowe hata afanyeje hawezi kumshinda mgombea wa CCM Hai

Anaendelea na kazi kama kawa na huyo Gaidi Mbowe hakushinda kweli na sasa Gaidi Mbowe linanyea debe.
Karibu tutafika na HAKI itakujatendeka. Nakuombea uhai ili uje kushuhudia ili kujifunza na kujenga UPENDO wa kweli moyoni mwako. AMEN.
 
Hawa wajinga wote technology ina ushahidi nao, ni swala la muda tu watapata haki zao
 
Hujuma ya Magufuli dhidi ya upinzani ulimponza hata Mungu hakufurahia.
 
Na huyo OCD hadi leo yupo kazini,...na kupandishwa cheo kabisa?
Kawa Nani

Kam vile namuona anavyo muambia mbowe " wee uwezi kuwa mbuge usijisumbuee na ondoka haraka dah mbowe aliaibishwa Sana na askar yule
 
Kawa Nani

Kam vile namuona anavyo muambia mbowe " wee uwezi kuwa mbuge usijisumbuee na ondoka haraka dah mbowe aliaibishwa Sana na askar yule
Leo Sabaya anadhalilishwa na OCD hana msaada wowote kwake
 
Kawa Nani

Kam vile namuona anavyo muambia mbowe " wee uwezi kuwa mbuge usijisumbuee na ondoka haraka dah mbowe aliaibishwa Sana na askar yule
Hivi yule wa Kinondoni ni nani vile? Labda tumwite mkuu Erythrocyte, anaweza kuwa na kumbukumbu nzuri zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…