VIDEO: Ona mtangazaji wa ITV alivyombana Kafulila Studio Live 'unafanya siasa na maisha ya watu?'

VIDEO: Ona mtangazaji wa ITV alivyombana Kafulila Studio Live 'unafanya siasa na maisha ya watu?'

Huwa nazionaga nyingi sijui hata zina maana gani? Hivi inakuwaje mpaka nyuzi zake ziandikwe humu?

Kuna siku unashangaa headings hata 10 zote Kafulila na watu wanazisoma hawaoni kuwa ni usanii?
Ni yeye mwenyewe Kafulila na team yake ndio wanaratibu utaratibu mzima wa hizo nyuzi
 
Back
Top Bottom