VIDEO: Ona mtangazaji wa ITV alivyombana Kafulila Studio Live 'unafanya siasa na maisha ya watu?'

VIDEO: Ona mtangazaji wa ITV alivyombana Kafulila Studio Live 'unafanya siasa na maisha ya watu?'

Wanasiasa wa bongo ukikutana nao ana kwa ana ukikaa nae dkk 10, utagundua ni weupe sana kichwani, yaani empty.. mi hata sishangai, hawana u special wowote.. uwezo wao wa kufikiri na kina Doto Magari ni same level..
Hukariri tu mambo bila kuchimba kwa kina,utawasikia pipooz,no reform no election,kuteka watu,kuua,ufisadi,10%
 
Mimi habari za Kafulila huwa hata sizisomi kabisa.

Nyuzi zake humu huwa hatasizifyngui maana ni porojo tu.

Huu uzi nimeifungua kwasbabu heading sio ile ya porojo za Kafulila.
Huwa nazionaga nyingi sijui hata zina maana gani? Hivi inakuwaje mpaka nyuzi zake ziandikwe humu?

Kuna siku unashangaa headings hata 10 zote Kafulila na watu wanazisoma hawaoni kuwa ni usanii?
 
Huwa nazionaga nyingi sijui hata zina maana gani? Hivi inakuwaje mpaka nyuzi zake ziandikwe humu?

Kuna siku unashangaa headings hata 10 zote Kafulila na watu wanazisoma hawaoni kuwa ni usanii?
Waswahili wanasema usikatae wito kataa neno kusoma haina shida Ili kuwa na maarifa zaidi
 
Back
Top Bottom