imma mkatoliki
JF-Expert Member
- Jun 23, 2024
- 256
- 167
Rural regions ni kama Katavi hiviMikoq ya vijijini ni ipi?
Rural regions ni kama Katavi hiviMikoq ya vijijini ni ipi?
Nipo salama kabisa kwa Uweza wa Mwenyezi MunguMkuu upo salama?
Nani alipika hayo matokeo?Mtawala anayepika matokeo ya uchaguzi atashindwaje kupika data za aina nyingine?
Kafulila ndio Rais ajaeUkweli ni kuwa K ni tapeli ea kisiasa. Ni opportunist
Tuko wengiMimi habari za Kafulila huwa hata sizisomi kabisa.
Nyuzi zake humu huwa hata siziifungui maana ni porojo tu.
Huu uzi nimeifungua kwasbabu heading sio ile ya porojo za Kafulila.
Idiot.!Mheshimiwa Kafulila siyo chawa bali ni mzalendo aliyetukuka.
Hoja za Mheshimiwa Kafulila naona zimekuwa mwiba mchungu sana kwa wapinzani dhaifu kama CHADEMAIdiot.!
Tumbili ktk ulofa wakeHapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?!
Huyu dada anaitwa nani?
View attachment 3355966
Kati yenu nani Lofa?Tumbili ktk ulofa wake
Alikuja na data zinazodai maisha yetu ni nafuu kwenye awamu hii ya Samia,Uhalisia upi sasa ambao hauelezi Kwa data?
Maisha Kwa wakati wa SAMIA ni mepesi sanaAlikuja na data zinazodai maisha yetu ni nafuu kwenye awamu hii ya Samia,
Na hizo data hazina uhalisi wa maisha yetu kwa sasa hasa ukiangalia kiuchumi zaidi.
Acheni kuweweseka ninyi. Kwanini CHADEMA mnamuogopa sana Mheshimiwa Kafulila?Kama kawaida zile ID 3 zinazokuwepo kwenye nyuzi zake zimeshakuja kujibu mapigo hapo juu.
Bado sasa zile ID zake 2 mwenyewe hazijafika kujibu.
Yaani kajamaa kana mbinu za kizamani sana.
Ni mepesi kwa wanaonyonya mrijaMaisha Kwa wakati wa SAMIA ni mepesi sana
Kwamba ili Kafulila apate cheo anatakiwa aoneshe anapambana na CHADEMA??Acheni kuweweseka ninyi. Kwanini CHADEMA mnamuogopa sana Mheshimiwa Kafulila?