VIDEO: Ona mtangazaji wa ITV alivyombana Kafulila Studio Live 'unafanya siasa na maisha ya watu?'

VIDEO: Ona mtangazaji wa ITV alivyombana Kafulila Studio Live 'unafanya siasa na maisha ya watu?'

Mimi habari za Kafulila huwa hata sizisomi kabisa.

Nyuzi zake humu huwa ni porojo tu za kumtangaza Mama Abduli na kuhadaa umma.

Huu uzi nimeifungua kwasbabu heading sio ile ya porojo za Kafulila.
Hata mimi naonaga ni nyuzi takataka . Nchi ina uzwa yeye atakuambia tunafanya vizuri Afrika nzima.
 
Mimi ni namkubali sana Mheshimiwa Kafulila kwa sababu ni mtu na kiongozi anayeongea kwa takwimu . Ila kwa manyumbu wanashindwa kupangua hoja zake maana wanajua huwa anaongea ukweli ambao huwezi kuupinga kama huna data.

CHADEMA wanamuogopa Mheshimiwa Kafulila kama ukoma maana wanajua kile ni kichwa kwelikweli ambacho kukaa nacho mezani kufanya macho majadiliano ni lazma uwe akili kubwa sana
Basha wako lazima umkubali kwa mikito anayokupa.
 
Huwa nazionaga nyingi sijui hata zina maana gani? Hivi inakuwaje mpaka nyuzi zake ziandikwe humu?

Kuna siku unashangaa headings hata 10 zote Kafulila na watu wanazisoma hawaoni kuwa ni usanii?
Ameweka vijana humu kumpaisha
 
Duuuh watu mnajua sana taarifa za watu
Iliwahi kuvujishwa sauti ya Kiswaswadu na huyo ex wa tumbili wakipanga miadi ya kwenda kunyanduana ndiyo tumbili akaamua kutoa talaka kabisa.
 
Mimi habari za Kafulila huwa hata sizisomi kabisa.

Nyuzi zake humu huwa ni porojo tu za kumtangaza Mama Abduli na kuhadaa umma.

Huu uzi nimeifungua kwasbabu heading sio ile ya porojo za Kafulila.
Huelewi chochote naona
 
Hapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?!

Huyu dada anaitwa nani?

View attachment 3355966
Kafulila anahusika vipi na masuala ya mbolea? Yeye eneo lake ni PPP na hakuna alichofanya hadi sasa. Anapiga siasa tu na kumsifia mama. Tunataka miradi ya PPP sio porojo. Anachozungumzia sio eneo lake.
 
Mimi habari za Kafulila huwa hata sizisomi kabisa.

Nyuzi zake humu huwa ni porojo tu za kumtangaza Mama Abduli na kuhadaa umma.

Huu uzi nimeifungua kwasbabu heading sio ile ya porojo za Kafulila.
Hujitambui ndio maana
 
Back
Top Bottom