VIDEO: Ona mtangazaji wa ITV alivyombana Kafulila Studio Live 'unafanya siasa na maisha ya watu?'

VIDEO: Ona mtangazaji wa ITV alivyombana Kafulila Studio Live 'unafanya siasa na maisha ya watu?'

Mimi habari za Kafulila huwa hata sizisomi kabisa.

Nyuzi zake humu huwa ni porojo tu za kumtangaza Mama Abduli na kuhadaa umma.

Huu uzi nimeifungua kwasbabu heading sio ile ya porojo za Kafulila.
Hii ni wewe tu nadhani ila watu wenye akili timamu wanamfuatilia Kafulila kujua anasema nini
 
Hapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?!

Huyu dada anaitwa nani?

View attachment 3355966
Kwanza Je siasa huwa zinafanya na maisha ya mbuzi?

Pili Je kuuliza hivyo ndio kuwekwa mtu kati au muilizaji anatakiwa kupewa majibu?

Mwisho mbolea zipo na hata Sasa zipo suala la mbolea fake ni uadilifu wa mtu mmja mmja kuliko ku generalize.
 
Mimi habari za Kafulila huwa hata sizisomi kabisa.

Nyuzi zake humu huwa ni porojo tu za kumtangaza Mama Abduli na kuhadaa umma.

Huu uzi nimeifungua kwasbabu heading sio ile ya porojo za Kafulila.
Ila za kesi ya wahaini,Gwajima ,utapeli wa Heche na nonsense za hivyo ndio habari zako au? 😂😂
 
Mimi ni namkubali sana Mheshimiwa Kafulila kwa sababu ni mtu na kiongozi anayeongea kwa takwimu . Ila kwa manyumbu wanashindwa kupangua hoja zake maana wanajua huwa anaongea ukweli ambao huwezi kuupinga kama huna data.

CHADEMA wanamuogopa Mheshimiwa Kafulila kama ukoma maana wanajua kile ni kichwa kwelikweli ambacho kukaa nacho mezani kufanya macho majadiliano ni lazma uwe akili kubwa sana
Kafulira na Wasira ndio kiboko ya Chadomo

View: https://www.instagram.com/p/DK-P8nJiQoS/?igsh=c3FoZHJ0NjZ2dHow

Huwezi Kuta Chadomo wanajibu hoja zao Bali ni kutukana Mwanzo mwisho
 
Maswali ni juu ya mbolea lakini majibu ni juu ya afya ya mama na mtoto, maji, barabara 😅
 
Mimi habari za Kafulila huwa hata sizisomi kabisa.

Nyuzi zake humu huwa ni porojo tu za kumtangaza Mama Abduli na kuhadaa umma.

Huu uzi nimeifungua kwasbabu heading sio ile ya porojo za Kafulila.
Hata mie huwa Sina shughuli naye
 
Kwanza Je siasa huwa zinafanya na maisha ya mbuzi?

Pili Je kuuliza hivyo ndio kuwekwa mtu kati au muilizaji anatakiwa kupewa majibu?

Mwisho mbolea zipo na hata Sasa zipo suala la mbolea fake ni uadilifu wa mtu mmja mmja kuliko ku generalize.
Daaah nchi ngumu sana hii
 
Back
Top Bottom