never-ending battle
JF-Expert Member
- Jun 22, 2024
- 277
- 183
Jibu hoja zake itasaidia sanahuyo jamaa ni takataka
Jibu hoja zake itasaidia sanahuyo jamaa ni takataka
Kafulia ni chawa pro maxHapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?!
Huyu dada anaitwa nani?
View attachment 3355966
Binafsi huwa nashangaa sana kuona kuna watu wanamfuatilia anachosema. Yaani ni mtu wa maneno tu kila siku.Huwa nazionaga nyingi sijui hata zina maana gani? Hivi inakuwaje mpaka nyuzi zake ziandikwe humu?
Kuna siku unashangaa headings hata 10 zote Kafulila na watu wanazisoma hawaoni kuwa ni usanii?
Demu wake mmoja humu anaitwa Lucas Mwashambwa anamfagilia kinomaMimi habari za Kafulila huwa hata sizisomi kabisa.
Nyuzi zake humu huwa hatasizifyngui maana ni porojo tu.
Huu uzi nimeifungua kwasbabu heading sio ile ya porojo za Kafulila.
Sio kweli lakiniNdiyo maana aliporwa mke na yule mzee Kiswaswadu.
Hebu tueleze ukweli mkuuSio kweli lakini
Jesca kaachwa tu sasa kama Kuna sehemu kaenda kujihifadhi ni haki yakeHebu tueleze ukweli mkuu
Mimi ni namkubali sana Mheshimiwa Kafulila kwa sababu ni mtu na kiongozi anayeongea kwa takwimu . Ila kwa manyumbu wanashindwa kupangua hoja zake maana wanajua huwa anaongea ukweli ambao huwezi kuupinga kama huna data.Demu wake mmoja humu anaitwa Lucas Mwashambwa anamfagilia kinoma
Hunaga akila kabisa wewe.Ndiyo maana aliporwa mke na yule mzee Kiswaswadu.
Wewe huna akili ya kuweza kuelewa hoja nzito za Mheshimiwa KafulilaBinafsi huwa nashangaa sana kuona kuna watu wanamfuatilia anachosema. Yaani ni mtu wa maneno tu kila siku.
Mheshimiwa Kafulila siyo chawa bali ni mzalendo aliyetukuka.Kafulia ni chawa pro max
Huyo Mcongo ni tapeli, na cheo alichopewa anaona hakitoshi.Hapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?!
Huyu dada anaitwa nani?
View attachment 3355966
Wivu tu ndio unaokusumbuaHili ni takataka vile vile lazima liseme uongo as usual kumpamba mama,,...uchawa eti kikubwa, kkubwa kiko wapi? chawa takataka
Hoja nzito 😳😳😳😳Wewe huna akili ya kuweza kuelewa hoja nzito za Mheshimiwa Kafulila
Mtawala anayepika matokeo ya uchaguzi atashindwaje kupika data za aina nyingine?Hapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?!
Huyu dada anaitwa nani?
View attachment 3355966
Mkuu upo salama?Mimi ni namkubali sana Mheshimiwa Kafulila kwa sababu ni mtu na kiongozi anayeongea kwa takwimu . Ila kwa manyumbu wanashindwa kupangua hoja zake maana wanajua huwa anaongea ukweli ambao huwezi kuupinga kama huna data.
CHADEMA wanamuogopa Mheshimiwa Kafulila kama ukoma maana wanajua kile ni kichwa kwelikweli ambacho kukaa nacho mezani kufanya macho majadiliano ni lazma uwe akili kubwa sana
Hapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?!
Huyu dada anaitwa nani?
View attachment 3355966