Tumuogope huyo Kafulila kwa kipi?Acheni kuweweseka ninyi. Kwanini CHADEMA mnamuogopa sana Mheshimiwa Kafulila?
Tumuogope huyo Kafulila kwa kipi?Acheni kuweweseka ninyi. Kwanini CHADEMA mnamuogopa sana Mheshimiwa Kafulila?
Hamna uwezo wa kujibu hoja zake wala kufikia uwezo wa kiakili alionao.Tumuogope huyo Kafulila kwa kipi?
Wapi Kafulila kapambana na CHADEMA?Kwamba ili Kafulila aoate cheo anatakiwa aoneshe anapambana na CHADEMA??
Kafulila yupo kwa ajili ya Taifa la Tanzania na ndio maana amekuwa akijenga hoja zenye maslahi kwa Taifa letu.Kwamba ili Kafulila aoate cheo anatakiwa aoneshe anapambana na CHADEMA??
Takataka kama Kafulila ni CCM zoazoa ndio wanaona ni mtu wa maaana sanaKafulila yupo kwa ajili ya Taifa la Tanzania na ndio maana amekuwa akijenga hoja zenye maslahi kwa Taifa letu.
Hoja anazo Gwajima.Hamna uwezo wa kujibu hoja zake wala kufikia uwezo wa kiakili alionao.
Mkuu upo kama mimi aisee ,janja janja sana uyu Bwana mfano wa wale wasumbufu shambani kwanguMimi habari za Kafulila huwa hata sizisomi kabisa.
Nyuzi zake humu huwa ni porojo tu za kumtangaza Mama Abduli na kuhadaa umma.
Huu uzi nimeifungua kwasbabu heading sio ile ya porojo za Kafulila.
Mke wake yumo humu ndiye huwa anazileta. Huyo mama anaitwa Lucas MsambwandaHuwa nazionaga nyingi sijui hata zina maana gani? Hivi inakuwaje mpaka nyuzi zake ziandikwe humu?
Kuna siku unashangaa headings hata 10 zote Kafulila na watu wanazisoma hawaoni kuwa ni usanii?
Farhia Tax.Hapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?!
Huyu dada anaitwa nani?
View attachment 3355966
Kumbe tupo kadhaa wenye fikra hasi juu ya huyu dalali wa mali za waTanzania?Mimi habari za Kafulila huwa hata sizisomi kabisa.
Nyuzi zake humu huwa ni porojo tu za kumtangaza Mama Abduli na kuhadaa umma.
Huu uzi nimeifungua kwasbabu heading sio ile ya porojo za Kafulila.
Kafulila kanona hivi🤭🤭🤭🤭🤭.Hapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?!
Huyu dada anaitwa nani?
View attachment 3355966
Upo kama mimi. Huwa nikiona sijui PPP napita mbio. Leo kichwa cha habari kuhusu huyo dada ndio nimefungua uzi lakini nimesikiliza sekunde kadhaa naondoka hivyo mbaki na Kafulila wenu!Mimi habari za Kafulila huwa hata sizisomi kabisa.
Nyuzi zake humu huwa ni porojo tu za kumtangaza Mama Abduli na kuhadaa umma.
Huu uzi nimeifungua kwasbabu heading sio ile ya porojo za Kafulila.
Kuna mtawala gani mwingine zaidi ya Serikali ya CCM?Nani alipika hayo matokeo?