Anapiga siasa huyu tumbili badala ya kuzungumzia wawekezaji wa kichinaTumbili,amewekwa 18
Anapiga siasa huyu tumbili badala ya kuzungumzia wawekezaji wa kichinaTumbili,amewekwa 18
Anaongelea matokeo ya ukuaji wa uchumi nchiniHuyu jamaa ni king'ang'anizi hatari! Sijui anataka nini?. Haya unaongelea vifo vya watoto/wamama wanaojifungua!
We daktari? Bure kabisa!
Uko sahihi Kafulila anaongelea ukuaji wa uchumi vijijiniYes Wala hazungumzii Kilimo kama Wizara yeye anazungumzia matokeo ya uwekezaji kwenye kilimo
Unazingua sana mzeeMimi habari za Kafulila huwa hata sizisomi kabisa.
Nyuzi zake humu huwa ni porojo tu za kumtangaza Mama Abduli na kuhadaa umma.
Huu uzi nimeifungua kwasbabu heading sio ile ya porojo za Kafulila.
Sikiliza mpaka mwisho jamaa kaongea vizuri sanaAnaulizwa changamoto za mbolea harafu anajibu mambo ya umeme na zahanati?!
Safi mjadala mtangazaji pia Yuko njemaHapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?!
Huyu dada anaitwa nani?
View attachment 3355966
Huyu dada anajiamini sana pongezi sna sana kwakeHapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?!
Huyu dada anaitwa nani?
View attachment 3355966
Sio wote lakini mkuuWanasiasa wa bongo ukikutana nao ana kwa ana ukikaa nae dkk 10, utagundua ni weupe sana kichwani, yaani empty.. mi hata sishangai, hawana u special wowote.. uwezo wao wa kufikiri na kina Doto Magari ni same level..
Safi kabisa dadaHapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?!
Huyu dada anaitwa nani?
View attachment 3355966
Vipaji anatoa Mungu Kafulila kabarikiwa tu hivyoMimi habari za Kafulila huwa hata sizisomi kabisa.
Nyuzi zake humu huwa ni porojo tu za kumtangaza Mama Abduli na kuhadaa umma.
Huu uzi nimeifungua kwasbabu heading sio ile ya porojo za Kafulila.
Safi sana hii debateHapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?!
Huyu dada anaitwa nani?
View attachment 3355966
Kwanza huyu sio raiaMimi habari za Kafulila huwa hata sizisomi kabisa.
Nyuzi zake humu huwa ni porojo tu za kumtangaza Mama Abduli na kuhadaa umma.
Huu uzi nimeifungua kwasbabu heading sio ile ya porojo za Kafulila.
Ngoja tuone kama ni kweliKafulia ni chawa pro max
Wewe mwehu hata hivyo jifunze kumsikiliza kila mtuMimi habari za Kafulila huwa hata sizisomi kabisa.
Nyuzi zake humu huwa ni porojo tu za kumtangaza Mama Abduli na kuhadaa umma.
Huu uzi nimeifungua kwasbabu heading sio ile ya porojo za Kafulila.
Kwani alikukosea nini huyu baba?Mimi habari za Kafulila huwa hata sizisomi kabisa.
Nyuzi zake humu huwa ni porojo tu za kumtangaza Mama Abduli na kuhadaa umma.
Huu uzi nimeifungua kwasbabu heading sio ile ya porojo za Kafulila.