Video: Padri ampiga mtoto kofi

Video: Padri ampiga mtoto kofi

ahhahahah zile zile habari za kina junior toto tundu padri alikua anampa mtoto upako mtoto hataki kutulia kaamua kumzabua kofi ili atulie
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imenikumbusha Kuna kipindi flan miaka ya 2007 kama sikosei Kuna padre moja kanisa la katesh alikua anatabia ya kuwapiga wadau makofi wakienda kitubio alaf wakakosea kusali Ile Sala ya kutubu.....nlikua nkienda kutubu nkakuta yupo huyo padre James naondoka nawaaga wadau kwamba ntakuja kutubu siku nyingine maana ilikua hata ukisitasita kidogo wakati wa kutubu unapigwa bonge la Kofi unaambiwa urudi nyuma ukapange mstari upya
Mlikuwa mnatubu dhambi hadi padri anaona wivu anataka uhadithie vizuri .
 
Huyo ni padri Jacques Lacroix ufaransa, umri miaka 89 hiyo ni mwaka 2018 alistaafu baada ya hilo tukio, alikua anaendeshwa vibaya na Uzee.
Yani huyu katuletea video ya wastaafu...
 
Wewe unadhani kipaimara hutolewa vipi? Usituone wakatoliki imara pamoja na mishale tunayoshbuliwa na Waislam, walokole, wasabato ila tupo imara. Hicho ni kipaimara
 
Bora huyo anayepiga mtoto kibao hadharani....kuliko wale wazee wa.......wakubinua watoto gizani
 
Kuna watu sijui ni umbumbumbu! Ila huwa mnawachukulia Mapadre wa Kanisa Katoliki kama Malaika vile! Kumbe kwa sisi tuliopitia hayo mazingira yao, huwa tunawachukulia kama binadamu wengine tu.

Au mnachanganywa na hayo mavazi yao? You people, you need to change. Mapadre ni binadamu tu kama sisi.
 
Watu wanafikiri mapri ni watu watakatifu sana … hawajui kwamba ni wanadamu kama sisi dhambi zetu ni kama zao tu, wanakosea pia. Wote tunaomba neema za mungu atunusuru
For sure...
 
Alikuwa anataka kukasuffocate katoto aisee...
 
Kuna watu sijui ni umbumbumbu! Ila huwa mnawachukulia Mapadre wa Kanisa Katoliki kama Malaika vile! Kumbe kwa sisi tuliopitia hayo mazingira yao, huwa tunawachukulia kama binadamu wengine tu.

Au mnachanganywa na hayo mavazi yao? You people, you need to change. Mapadre ni binadamu tu kama sisi.
Huyo kanywa Pombe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imenikumbusha Kuna kipindi flan miaka ya 2007 kama sikosei Kuna padre moja kanisa la katesh alikua anatabia ya kuwapiga wadau makofi wakienda kitubio alaf wakakosea kusali Ile Sala ya kutubu.....nlikua nkienda kutubu nkakuta yupo huyo padre James naondoka nawaaga wadau kwamba ntakuja kutubu siku nyingine maana ilikua hata ukisitasita kidogo wakati wa kutubu unapigwa bonge la Kofi unaambiwa urudi nyuma ukapange mstari upya
Hii tabia mapadri wa zamani walikuwa nayo sana. Nilikuwa nawasikia wazazi wangu wakizungumzia baadhi ya waumini kupigwa makofi.
 
Back
Top Bottom