chrstopher
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 275
- 558
ahhahahah zile zile habari za kina junior toto tundu padri alikua anampa mtoto upako mtoto hataki kutulia kaamua kumzabua kofi ili atulie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo kesho mahakamani
Mlikuwa mnatubu dhambi hadi padri anaona wivu anataka uhadithie vizuri .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imenikumbusha Kuna kipindi flan miaka ya 2007 kama sikosei Kuna padre moja kanisa la katesh alikua anatabia ya kuwapiga wadau makofi wakienda kitubio alaf wakakosea kusali Ile Sala ya kutubu.....nlikua nkienda kutubu nkakuta yupo huyo padre James naondoka nawaaga wadau kwamba ntakuja kutubu siku nyingine maana ilikua hata ukisitasita kidogo wakati wa kutubu unapigwa bonge la Kofi unaambiwa urudi nyuma ukapange mstari upya
Hao ni mtu mmoja.
Mtumishi wa Mungu anataka ambatize kenyewe kanamletea dingi ubishoo, dingi aliingia upadri kwa sababu hapendi watoto.
Yani huyu katuletea video ya wastaafu...Huyo ni padri Jacques Lacroix ufaransa, umri miaka 89 hiyo ni mwaka 2018 alistaafu baada ya hilo tukio, alikua anaendeshwa vibaya na Uzee.
Watu wanafikiri mapri ni watu watakatifu sana … hawajui kwamba ni wanadamu kama sisi dhambi zetu ni kama zao tu, wanakosea pia. Wote tunaomba neema za mungu atunusuruYani huyu katuletea video ya wastaafu...
For sure...Watu wanafikiri mapri ni watu watakatifu sana … hawajui kwamba ni wanadamu kama sisi dhambi zetu ni kama zao tu, wanakosea pia. Wote tunaomba neema za mungu atunusuru
Huyo kanywa PombeKuna watu sijui ni umbumbumbu! Ila huwa mnawachukulia Mapadre wa Kanisa Katoliki kama Malaika vile! Kumbe kwa sisi tuliopitia hayo mazingira yao, huwa tunawachukulia kama binadamu wengine tu.
Au mnachanganywa na hayo mavazi yao? You people, you need to change. Mapadre ni binadamu tu kama sisi.
Wewe ndiye uliyemnywesha? Kijana wa Bi. Ellen G. White una shida sana.Huyo kanywa Pombe
Hii tabia mapadri wa zamani walikuwa nayo sana. Nilikuwa nawasikia wazazi wangu wakizungumzia baadhi ya waumini kupigwa makofi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imenikumbusha Kuna kipindi flan miaka ya 2007 kama sikosei Kuna padre moja kanisa la katesh alikua anatabia ya kuwapiga wadau makofi wakienda kitubio alaf wakakosea kusali Ile Sala ya kutubu.....nlikua nkienda kutubu nkakuta yupo huyo padre James naondoka nawaaga wadau kwamba ntakuja kutubu siku nyingine maana ilikua hata ukisitasita kidogo wakati wa kutubu unapigwa bonge la Kofi unaambiwa urudi nyuma ukapange mstari upya
Nakumbuka kuiona mika ya nyuma.Hii ni ya muda mrefu kidogo kama miaka 3 hivi imepita.