Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Ajali nyingi sana zimeshatokea eneo hili. Mamlaka hazichukui hatua yoyote. Sehemu yenye junction na yenye pilikapilika kama hii tena inaingiliana na mwendokasi inakosaje taa za kuongozea? Hicho kioo kikubwa kando ya junction mnadhani kinatosha kwa madereva na watumiaji wa barabara hiyo kuona upande mwingine wa barabara? Inasikitisha sana.