KUna nchi kukiwa na foleni hata pikipiki ni marufuku kupenya penya baina ya magari, sasa sisi huku hata junction kubwa na mataa kibao kabisa na muda mwingine junction hapo hata trafiki wapo ila boda wanaangalia kulia na kushoto na kuhepa, serious regulations zinahitajika kuendana na mazingira yetu, kuhusu mentality ya hawa boda wenyewe wabobezi wa haya mambo waje na plan