Video: Paul Makonda na harakati za hila za kuulinda mfumo wa serikali tawala ya CCM ulioshindwa. Atafanikiwa au anasukuma anguko lake?

Mkuu Tindo, hunitendei haki kuniweka mimi katika kundi hili la hawa machawa mazagazaga!.
P
Pole sana Kwa kuingizwa kundi moja na Lucas mwashambwa na MamaSamia2025 na ChoiceVariable na chiembe na Tlaatlaah na Etwege na wengine kibao.

Hata hivyo, wewe Pascal Mayalla bado ni chawa tu japo unaweza usie yule wa "mazagazaga" bali yule chawa mwenye akili timamu maana kuna wakati huwa unajiongeza ili kuficha tabia za chawa..

Back to the topic;

Una maoni gani juu ya uchambuzi huu wa Ansbert Ngurumo?

Is Paul Makonda engineering his own downfall subsequently to your CCM?

Umeuona udanganyifu na hila za CCM katika eneo moja tu la treni ya SGR?

Hivi inawezekana vipi viongozi wa serikali waandamizi kuanzia Rais hadi mawaziri kuwa waongo wa kutoa ahadi zaidi 10 katika jambo moja tu kuhusu kuanza kwa huduma za usafiri wa treni ya SGR kati ya DSM na Morogoro tu na bado hakuna hata moja iliyotimizwa?

Hivi kwa mtazamo wako, serikali ya viongozi wa namna hii inakuwa na uhalali gani kuendelea kuwepo? Tuendelee kuiamini? Ina uadilifu wowote?

Hili ni eneo moja tu. Njoo kwenye umeme. For more than 35yrs ni uongo na ulaghai mtindo mmoja..!

Ni ngumu sana kupiga hatua za kimaendeleo chini ya mfumo wa utawala unaolea na kubeba viongozi wajinga, wazembe na wasiowajibika kwa kiwango hiki!!
 
unataja taja majina tu kwa mistari isiyo na vina....

tafuta njia mdadala kutatua changamoto zako binafsi πŸ’

malalamiko yako na gubu dhidi ya serikali yanashughulikiwa japo si muhimu kwa wakati huu πŸ’
 
unataja taja majina tu kwa mistari isiyo na vina....

tafuta njia mdadala kutatua changamoto zako binafsi πŸ’

malalamiko yako na gubu dhidi ya serikali yanashughulikiwa japo si muhimu kwa wakati huu πŸ’
Wewe ni chawa wa mama au nimekosea?

Kama nimekosea kuwekwa kundi hilo, niwie radhi. Lakini kama u chawa, then jina lako linastahili kutjwa bila vina Wala heshima yoyote maana chawa ni wadudu hatari waenezao magonjwa..

Unasema nitatue changamoto binafsi?

Ok. Changamoto zetu wananchi kutaka upatikanaji thabiti na endelevu wa huduma ya umeme, maji, maisha bora kwa kila mwanachi na huduma zingine muhimu za kijamii toka serikalini..

Wajibu wangu ni kulipa kodi. Huo naufanya kikamilifu. Huwa mnazipelekwa wapi nyie chawa??
 
Kote alikopita amepata muitikio mkubwa na watu wamerejesha Imani Yao Kwa chama na Serikali.

Sijasikia Wala kuona mahala amesema ccm oyee au Samia oyee watu wakatukana au kuacha Kuitika.

Chadema hofu na kiwewe Cha nini?
Kwa kuwa chama kimeamua kuwadanganya Watanzania. Basi huko kote watu wanaidanganya CCM kuwa wanaiunga mkono...

Endelea kujifariji
 
No umekosea,

mi ni Nyumbu mkuu wa puppet niko ufipa apa πŸ’
 
puppet hana hamu tena na siasa za Tz🀣

there is no escape Root this time around, Makonda pekeyake amekaba left, right and center 🀣

bado secretary general hajaanza 🀣 aiseeee
Really?

Even the devil is always hangs right, left, rear and front side..

But you know what?

The devil πŸ‘ΏπŸ‘ΏπŸ‘ΏπŸ‘Ώ is always a liar!!
 
Watanzania
Kwa sababu kila hali inaonekana hawa watawala wameshikilia utashi na uhai wa Taifa kupitia vyombo vya dola. Basi mkono umeshashuka na kuanza kupatiliza wote kwa kipimo walichowapimia wanyonge hawa...

Sauti dhaifu yenye ukali
 
apo kwenye kodi ni muhimu zaidi umenifurahisha πŸ€“ili jioni nipate posho zangu nikale na wanangu....


changamoto binafsi nasisitiza sana tafuta namna ya kuzitatua, muhimu zaidi utoke kuishi nyumbani kwa wazazi, umekua mtu mzima sasa....

hiyo ya wananchi tunang'ang'ana nayo bila wasi,
na baada ya muda mambo itakaa sawa..

Muhimu sana mendelee kulipa kodi ili tupate fedha za kudeal na hizo challenges umerepot πŸ’
 
Mkuu Tindo, hunitendei haki kuniweka mimi katika kundi hili la hawa machawa mazagazaga!.
P
Mkuu
hata mimi naona haustahili kabisaa kuchanganywa na hao waheshimiwa walioamua kujifanya vijana wazalendo.

Lakini pia, sehemu kubwa ya tafakuri zako zimeweka mikingamo kung'amua kama kweli nawe hauungi mkono haya yanayojiri. pongeza pongeza zisizostahili nyingi sana ambapo hakuna kinachofanyika ni dalili ya kuona labda unaona mambo yapo kiroho safi.

Kwenye kupongeza ifanyike kwa usahihi wake na kwenye kukosoa ionekane kweli ukosoaji unaoenda kujenga.

Tindo mchukulie kwa heshima lejendi wetu bana
 
Really?

Even the devil is always hangs right, left, rear and front side..

But you know what?

The devil πŸ‘ΏπŸ‘ΏπŸ‘ΏπŸ‘Ώ is always a liar!!
surprised again ? 🀣

relax commander,

huu ni mwanzo tu mambo bado ....

wakati muafaka itafahamika are you a politician, puppet or Apostle 🀣

itabainika tu una hoja, malalamiko au mahubiri πŸ’
 
#NaHapaIpoMitano ya Samia
 
Mkuu Tindo, hunitendei haki kuniweka mimi katika kundi hili la hawa machawa mazagazaga!.
P
Nimecheka sana! Eti machawa mazagazaga! Pascal wewe unayo heshima yako, lakini kuna wakati mahaba ya chama kipya yanakufanya uandike jambo linaloshindwa kukutofautisha na hao machawa.
Simamia kweli na haki uone kama kuna mtu anaweza kukuweka kundi moja na hao machawa mazagazaga wasio haya.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Jomba una uwezo wa kupata milo mitatu kwa siku? Inaonekana umeandika ukiwa na njaa kali sana iliyohamia kwenye ubongo wako.
 
Mkuu Tindo, hunitendei haki kuniweka mimi katika kundi hili la hawa machawa mazagazaga!.
P
Mkuu Pascal, kati ya watu makini niliokuwa nikipenda kusoma makala zao, mmojawapo ulikuwa wewe. Sijuhi ni nini kilikufanya ukengeuke na kujikuta kwenye kundi la watu kama Lucas Mwashambwa wasio kuwa na uwezo wa kujadili hoja ktk uhalisia wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…