Video: Paul Makonda na harakati za hila za kuulinda mfumo wa serikali tawala ya CCM ulioshindwa. Atafanikiwa au anasukuma anguko lake?

Kwa hiyo ww ni mchambuz waking uchwara mlitaka nn? Paul Makonda anafanya Kaz ya chama vizuri Sana. Kwann Mnyika nae asiende huko kwa wananchi? Huyo mchambuz wako maandaz, nn kinamuma? Makonda anakusanya watu wengine sana kwenye mikutano yake.Na anatatua shida za wananchi. Mchambuz kwanza yupo nje ya nchi, anapakatwa na wazungu hana akili ya kutuambia cha, maana.
 
Unawajibu vizuri lkn wao wanaleta ngonjera
 
Kuna jambo la kujifunza ktk hizi ziara za Makonda. Mifumo ya serikali haifanyi kazi tena? Kuna watendaji kuanzia ngazi za vijii, maDED, DC, RC nk. Kumiminika kwa malalamiko ya wananchi kwa Makonda ambae ki msingi hana suruhu ya kero zao, kunaonyesha wazi ombwe la uongozi wa serikali hii. Pia kwa malalamiko ya wananchi mbele ya Makonda yanayohusu mahakama zetu, jaji mkuu anapaswa kujitathimini.

Ni bahati mbaya CCM inatumia ulewa mdogo wa watu na ushabiki kama mtaji wa kujiimarisha.
 
Mkuu Pascal, kati ya watu makini niliokuwa nikipenda kusoma makala zao, mmojawapo ulikuwa wewe. Sijuhi ni nini kilikufanya ukengeuke na kujikuta kwenye kundi la watu kama Lucas Mwashambwa wasio kuwa na uwezo wa kujadili hoja ktk uhalisia wake?
Kabisa kiongoz jamaaa alikuwa yuko poa ssna ila cku hana jipya labda anataka uteuzi ujue bongo mtu akikosa ugali anaanza kujipendekeza hata kwa adui yake
 
Kwa akili yako unadhani kuna kitu cha maana ulichoandika? Watu wanatathimini ziara ya Makonda, kero za Wananchi na utendaji wa serikali, wewe unarukia akina Mnyika na Chadema. Kwa nini chawa mnajifuta data?
 

Shida za wananchi ni umeme na mfumuko ww bei, Kuna lolote katatua katika hayo, au anatafuta kiki kwa hao makada wa ccm waliopangwa? Au anataka kuleta yale maigizo ya wakati ww dhalimu kuwa waliozalishwa bila matunzo wakashitaki kwake?
 
Eti Bashite anawaagiza watendaji wa serikali. Haya si maigizo TU. Yaani maana yake ni kuwa Samia amejaza wajinga ambao hawajui majukumu Yao mpaka bashite awakumbushe. Kwa nini hao wajinga wa Samia wanaendelea kushikilia nyadhifa zao!? Je, wananchi kote nchini wafanye kumngoja bashite ili atatue shida zao!? Acheni vioja ninyi wajinga wa ccm.
 
Achaneni nae, mbona anawasumbua buduli zenu?, Ukute wewe ni CCM damudamu au pro chadomo ambao hamkutaka kijana ainuke tena
 
CCM Na Aibu Yao Yaani PhD Tele Lakini Oops
 
Ngurumo ni looser na ameandika hayo Kwa sababu hakutegemea mtu kama Makonda kurudi tena kwenye siasa kulingana na Yale wanayodai aliwafanyia.

Mengine hayo ni ya kujifariji tuu ila ndio hivyo Sasa Wapinzani mshauzwa na Samia πŸ˜†πŸ˜†
 
Wanafanya usanii wa hali ya juu ili kuwahadaa watu wenye akili ndogo.
 
Mkuu Tindo, hunitendei haki kuniweka mimi katika kundi hili la hawa machawa mazagazaga!.
P
Wewe Mzee unarudi utoto Sasa.Kwamba unashindwa kuwaelewa hao Wapinzani ambao Rais akifanya jambo zuri haitakiwi kumsifia maana ukimsifia utaitwa chawa 😁😁

Sasa unatakiwa uchague kumfurahisha hao Wapinzani au kumsifia Rais akifanya vyema.

Utakula unakopeleka mboga,Mimi Huwa sihangaiki na hao loosers ambao Kwa Sasa wamepigwa shock na mambo 2.

Mosi wasiemtaka karudie Makonda

Pili Muitikio wa watu kwenye mikutano ya MKonda imewapa ubaridi,ule upotoshaji wa sijui watu wanaosombwa na Malori haupo Sasa wanaumbuka.

Last Kiko ni maandamano nayo yamedoda πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…