Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
ok.πKaka Mwaipaya habari.
Hapa ni Kilosa Morogoro Polisi amempiga mwananchi risasi kama unavyoona tunaomba utupazie sauti, huyu sio mwizi Bali ni raia mwema, kinachotuumiza ndugu yetu amepoteza maisha, tulimpeleka hospital wakasema tupeleka PF3 ya Polisi kwenda Polisi, Polisi wakakataa kutoa PF3 mwenzetu amekufa kwa mateso makubwa.
Nchi imeharibika hakuna amani tena mauaji kila siku,utekaji kila siku, huu ujinga tukiuchekea TUTAISHA ndugu zangu, pona yetu ni kuandamana Tarehe 29.10.2026.
Soma Pia: Kigoma: Zaidi ya wananchi 100 wa Jamii ya Wanyantuzu, wadaiwa kupigwa risasi na Polisi
Kaka Mwaipaya habari.

AK hiyo nadhaniHio risasi calliber noma
7.62 sijui ni G3
Yaani. Nimeshindwa kuangalia hadi mwisho. Mtu unakufa huku unajiona. Hii ni mbaya sana.Inasikitisha, Tanzania hatuna uwezo wa kutia basic first aid services, huyo jamaa anakufa kwa kuvuja damu π.
Halafu kuna Waziri mjinga ameona BIOLOGY sio somo la lazima.
Kaka Mwaipaya habari.
Hapa ni Kilosa Morogoro Polisi amempiga mwananchi risasi kama unavyoona tunaomba utupazie sauti, huyu sio mwizi Bali ni raia mwema, kinachotuumiza ndugu yetu amepoteza maisha, tulimpeleka hospital wakasema tupeleka PF3 ya Polisi kwenda Polisi, Polisi wakakataa kutoa PF3 mwenzetu amekufa kwa mateso makubwa.
Nchi imeharibika hakuna amani tena mauaji kila siku,utekaji kila siku, huu ujinga tukiuchekea TUTAISHA ndugu zangu, pona yetu ni kuandamana Tarehe 29.10.2026.
Soma Pia: Kigoma: Zaidi ya wananchi 100 wa Jamii ya Wanyantuzu, wadaiwa kupigwa risasi na Polisi
Inasikitisha, Tanzania hatuna uwezo wa kutia basic first aid services, huyo jamaa anakufa kwa kuvuja damu π.