Video: Polisi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi Kilosa

Kilosa ndo kule ambalo DC wake anatafitwa na dudu baya
 
Hawa jamaa daah. Sasa siwampeleke hospital haraka
 
Taarifa imeletwa kishabiki sana. Maelezo ya habari hii imepoteza umakini sababu imeandikwa kisiasa zaidi hivyo kuamini uhalisia wa taarifa yako unaleta mashaka.
 
Kabisa , hapo kungekuwa na mtu jasiri. Jamaa angepona.
Hizo damu zimetoka kidogo kidogo kwa muda mrefu. Had jamaa amefariki.
Dah what a shame.
😭😭😭😭

Imeniuma sana, Pamba + Gozi hazizidi hata 10k pharmacy, huduma ya 5 minutes ingemuokoa jamaa.

Tunamatatizo mengi sana sisi wa Tz.
 
Sasa si waweke kitengo Cha kutoa pf3 mahospitalini zote Ni sekta za seeikali
 
Nikipiga capten Morgan na mdogo wake napataga hisia kama za mwamba hapo

Sema tumefika wapi kiasi ni rahisi kuchukua picha ya mtu anakorofuka bila kumbeba na kumpeleka Kituo cha afya cha karibu

Hili bomu la utandawazi lisiposhughulikiwa na viongozi wa kizazi hiki ganzi ikiroot kwa mioyo kila rangi tutaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…