Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kabachori wacha apigwe chuma tu maana wana kauli mbovu sana kwa wafanyakazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia, Hapa dodoma maeneo ya ihumwa kuna mwanajeshi kapigwa kisu na Raiya wenye jaziba, Utumbo wa jwtz umemwagika.Hili kosa watanzania wengi tunalifanya, hasa uwe imesoma kidogo au una ka nyadhifa serikalini au unakutana na kiongozi au kijana mdogo hela zimekutembelea, unakuta wanapandishiana na walinzi, askari au mtu yoyote mwenye silaha kwa kiburi Cha fedha, elimu cheo au kujuana.
NEVER ARGUE WITH ARMED PERSON
Kwahio hao ambao angewatuma waje wamuue saivi hawatamtafuta wamuue?Umpige na kitako hlf aje atume watu wake wakuue , hv wabongo mnatatizo gan mnapojadili mambo , ni km upande mmoja wa kufikiri mnauzima , simlaumu huyo afande maana si kichaa , swala la kuua ni kielelezo ana kero ambayo imamshika hapa na hana namna
Tena alirudi mara ya pili kuhakikisha anamuua kabisa....
Kwa sababu ya mhindi mmoja kuuliwa ndio nchi haipo salama?Uganda panaelekea kutokuwa salama
Kuna kiongozi amepigwa risasi wiki chache zilizopita hujalisikia hiloKwa sababu ya mhindi mmoja kuuliwa ndio nchi haipo salama?
Hata sisi waafrika ni wabaguzi sema ni vile hatuna pesa. Hii comment inadhihirisha hichoItakuwa hivyo hivyo. Hawa wapuuzi wa kihindi huwa na majibu ya shombo na maudhi.
RIP kanjibhai.
Vipi kuhusu wamarekani wao unawapenda? coz kila siku black wanakula shaba,Hawa wahindi walishawahi kuua wanafunzi wa kiafrika,ni wabaguzi mno..ki ukweli si wapendi...ila kuuwawa sio suluhisho.
Kwamba ndiyo matatizo ya ukoo wenu yataisha?Nimeipenda, wafe tu.
Ipo hiviAmna anae jua kilicho endelea ila kwa tabia za hawa wahindi simshangai uyo askari
Wewe haya umeyajuaje?Ipo hivi
Kanjibahi anakopesha fedha ,zile za mtaani
Sasa Njagu akaenda kuuliza kiwango anachodaiwa.
Inaonekana alitajiwa deni kubwa,akafanya yake
ok Patel Singh. Pole kwa msiba.Hata sisi waafrika ni wabaguzi sema ni vile hatuna pesa. Hii comment inadhihirisha hicho
Hawajifunzi, Idd Amin aliwatimua wote masaa 72 wabebe begi la nguo tu tena moja pumbavu.Kabachori wacha apigwe chuma tu maana wana kauli mbovu sana kwa wafanyakazi
Wengi wao walihamia Canada na UK na wana maisha mazuri tu,Hawajifunzi, Idd Amin aliwatimua wote masaa 72 wabebe begi la nguo tu tena moja pumbavu.
Hii taarifa ninayo toka juZi,nilichoandika hapo ndo kilichoandikwa na Dailyloud.comWewe haya umeyajuaje?
Neno Inaonekana linathibitisha kua huna uhakika na unachokisema.
Naona watu humu wanafurahia kama ilivyo jadi yetu.
Hii ingekuwa imemtokea mtu mweusi huko Marekani, India au Uarabuni tungeona kila aina ya vilio na laana dhidi ya ubaguzi kutoka kila kona ya JF na Afrika kwa ujumla, vikisindikizwa na maandamano ya watu weusi katika nchi husika.
Ni kama tu ilivyo kwa wachezaji weusi wakibaguliwa kidogo ulaya tunapiga mayowe balaa, lakini kilichomkuta Dejan sasa...
Nadhani watu weusi ni race baguzi kuliko race nyinginezo zote duniani, hasa ikichagizwa na inferiority complex.