a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,456
- 1,459
Watatumwa na nani wakati hiyo dili angetoa huyo marehemu.Kwahio hao ambao angewatuma waje wamuue saivi hawatamtafuta wamuue?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watatumwa na nani wakati hiyo dili angetoa huyo marehemu.Kwahio hao ambao angewatuma waje wamuue saivi hawatamtafuta wamuue?
Hatutaki kuwa wanyonge tena mbele ya Slave master wetu. Haitusaidii na haitawahi kutusaidia.Naona watu humu wanafurahia kama ilivyo jadi yetu.
Hii ingekuwa imemtokea mtu mweusi huko Marekani, India au Uarabuni tungeona kila aina ya vilio na laana dhidi ya ubaguzi kutoka kila kona ya JF na Afrika kwa ujumla, vikisindikizwa na maandamano ya watu weusi katika nchi husika.
Ni kama tu ilivyo kwa wachezaji weusi wakibaguliwa kidogo ulaya tunapiga mayowe balaa, lakini kilichomkuta Dejan sasa...
Nadhani watu weusi ni race baguzi kuliko race nyinginezo zote duniani, hasa ikichagizwa na inferiority complex.
Huyo kanjibahi hana ndugu jamaa marafiki wa kurevengeWatatumwa na nani wakati hiyo dili angetoa huyo marehemu.
Kama wataona ni sahihi kwao kutunisha misuli nasi ugenini walipo na wafanye.Huyo kanjibahi hana ndugu jamaa marafiki wa kurevenge
Tena alirudi mara ya pili kuhakikisha anamuua kabisa....
Itakuwa alimjibu kunya alafu mbele ya wafanyakazi wake
Wanakuja burebure ?Kwahio hao ambao angewatuma waje wamuue saivi hawatamtafuta wamuue?
Timua wote yao , wahindi walizikuta hizo nchi zipo juu tyrWengi wao walihamia Canada na UK na wana maisha mazuri tu,
Vipi Uganda baada ya kuwatumia nini kilibadilika?
Wahindi ndio wanakimbiza USA hasa kwenye issue za komputer na science,huko NASA wamejaa kibao,
leo hii waziri mkuu wa UK ni muhindi.
ngumu sana kutuma watu tofauti na yeye angekuwa haiHuyo kanjibahi hana ndugu jamaa marafiki wa kurevenge