Ongera zao!Hizo wameshazijulia hamna kitu humo; mrusi akaombe teknolojia nyingine "mpya" kwa madikteta wengine - NK, then Nicaragua, Venezuela, kisha amalizie Belarus. Hope atakuwa ameshinda vita.
Zilitumwa nyingi kama panya washambuliavyo mashamba msimu mbaya ila dawa imepatikana; hata kwa manati zinashushwa.
Miji minne imekwenda kwa mwendokasi,hatujameza hata mate drone nazo zinazozurura zitakavyo.Hizo wameshazijulia hamna kitu humo; mrusi akaombe teknolojia nyingine "mpya" kwa madikteta wengine - NK, then Nicaragua, Venezuela, kisha amalizie Belarus. Hope atakuwa ameshinda vita.
Zilitumwa nyingi kama panya washambuliavyo mashamba msimu mbaya ila dawa imepatikana; hata kwa manati zinashushwa.
Hongera siyo ongeraOngera zao!
Wazee wa referundum vipi Kherson mmeshamaliza kuhamisha watu?Miji minne imekwenda kwa mwendokasi,hatujameza hata mate drone nazo zinazozurura zitakavyo.
Mpaka tuzipige kwa risasi Ina maana hatuna mifumo ya ulinzi.
WaTz ujuaji mwingi sana, wakati nchi za West zinaweka mpaka vikwazo na Ukraine wanalalamika kuhusu hizi drones....wewe unatoka usingizi unaropoka tu kwenye simu...??Mapenzi yakizidi ni kama upofu..na wewe mapenzi kwa Ukraine yamekupofusha kabisa...nahisi unatamani ungezaliwa Ukraine wewe....Watwangane wengine Ulaya huko...wateseke wengine Afrika huku..duuhHizo wameshazijulia hamna kitu humo; mrusi akaombe teknolojia nyingine "mpya" kwa madikteta wengine - NK, then Nicaragua, Venezuela, kisha amalizie Belarus. Hope atakuwa ameshinda vita.
Zilitumwa nyingi kama panya washambuliavyo mashamba msimu mbaya ila dawa imepatikana; hata kwa manati zinashushwa.
Mji wa Kharson umeanguka Russia wameutelekeza na kukimbia zao na raia wao kichapo ni motoMiji minne imekwenda kwa mwendokasi,hatujameza hata mate drone nazo zinazozurura zitakavyo.
Mpaka tuzipige kwa risasi Ina maana hatuna mifumo ya ulinzi.
Taarifa zinaonesha kuwa Ukraine wanapata mafanikio makubwa katika kupambana na Drones za iran, inaonesha kuwa kwa uchache 85% zinatunguliwaMiji minne imekwenda kwa mwendokasi,hatujameza hata mate drone nazo zinazozurura zitakavyo.
Mpaka tuzipige kwa risasi Ina maana hatuna mifumo ya ulinzi.
Sijaona videoHizo wameshazijulia hamna kitu humo; mrusi akaombe teknolojia nyingine "mpya" kwa madikteta wengine - NK, then Nicaragua, Venezuela, kisha amalizie Belarus. Hope atakuwa ameshinda vita.
Zilitumwa nyingi kama panya washambuliavyo mashamba msimu mbaya ila dawa imepatikana; hata kwa manati zinashushwa.
Sasa wewe na yeye mnatofauti gani? Maana unamtolea povu kisa kaisema Russia,basi na wewe nenda kazaliwe kwa PutinWaTz ujuaji mwingi sana, wakati nchi za West zinaweka mpaka vikwazo na Ukraine wanalalamika kuhusu hizi drones....wewe unatoka usingizi unaropoka tu kwenye simu...??Mapenzi yakizidi ni kama upofu..na wewe mapenzi kwa Ukraine yamekupofusha kabisa...nahisi unatamani ungezaliwa Ukraine wewe....Watwangane wengine Ulaya huko...wateseke wengine Afrika huku..duuh
Pole kijana [emoji16][emoji23][emoji16]Putin na warussian wote ni wapumbavu..na mwisho wa siku watavuna upumbavu wao na ushetani wanaufanya Ukraine.
Litafute utalionaSIjui kwanini kwanini bandiko langu halionekani, what's going on Mod