Video: Polisi wa Ukraine wapiga chini drone ya Iran kwa risasi

Video: Polisi wa Ukraine wapiga chini drone ya Iran kwa risasi

Ndio nimepata mzuka sasa, lazima niwaelimishe maustadh wote humu muache kushikiliwa akili za kumuabudu Putin na kuacha kumuabudu muddy.
Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia hapa? Mzuka upi wakati Mods wanafuta pumba zako?
Hizo pumba peleka Nyumbani kwako.
 
Kumbe tatizo lako ni Islamophobia tu!
Unahitaji kuhurumiwa tu,unahangaika kwa jambo ambalo huliwezi.
Watu kama hawa akili zao zipo makalioni wanaishia kuhangaika bila mafanikio

Kwanza atambue hakuna muislamu anae weweseka kwenye mitandao kama walivyo wao kila kukicha wanatafuta njia ya kuiangusha DINI atimae wanakufa na vihoro.

Nampa pole mtoa mada
 
Ndio nimepata mzuka sasa, lazima niwaelimishe maustadh wote humu muache kushikiliwa akili za kumuabudu Putin na kuacha kumuabudu muddy.
Mkuu kila nikiona post na comment yako kuna mambo mawili yananiijia kichwani. Kuna uwezekano mkubwa ukawa na shida kichwani au makalioni. Hizi sio akili za mwanamme wa kawaida. Sijawahi kukukashifu wala kuwasupport wanaokukashifu ila naona kama unastahili matusi na kashfa zote unazopewa hapa jukwaani. Una akili za kishamba sana
 
Safi sana endelea kufuatilia posts zangu, sitawaangusha chini nyie mashabiki zangu naendelea kuleta habari moto moto namna Urusi anapokea za uso kutoka kwa kataifa kadogo jirani yake.
 
Safi sana endelea kufuatilia posts zangu, sitawaangusha chini nyie mashabiki zangu naendelea kuleta habari moto moto namna Urusi anapokea za uso kutoka kwa kataifa kadogo jirani yake.
Sina shida na upande ulioamua kuegemea katika huu mgogoro ila kwanini unakuwa mwepesi kuwapachika watu dini? Kuna uhusiano gani kati ya mgogoro unao endelea na masuala ya dini za watu?
 
Sina shida na upande ulioamua kuegemea katika huu mgogoro ila kwanini unakuwa mwepesi kuwapachika watu dini? Kuna uhusiano gani kati ya mgogoro unao endelea na masuala ya dini za watu?

Aah wapi! Nyie wote dini hiyo mumeshikiliwa akili, hakuna hata mmoja anatumia akili zake mwenyewe, nimeshuhudia kuanzia maofisni, mitaani, mitandaoni hadi huku ni kama mumepagawa vile.
 
Aah wapi! Nyie wote dini hiyo mumeshikiliwa akili, hakuna hata mmoja anatumia akili zake mwenyewe, nimeshuhudia kuanzia maofisni, mitaani, mitandaoni hadi huku ni kama mumepagawa vile.
Ushamba unakusumbua. Una safari ndefu bado
 
WaTz ujuaji mwingi sana, wakati nchi za West zinaweka mpaka vikwazo na Ukraine wanalalamika kuhusu hizi drones....wewe unatoka usingizi unaropoka tu kwenye simu...??Mapenzi yakizidi ni kama upofu..na wewe mapenzi kwa Ukraine yamekupofusha kabisa...nahisi unatamani ungezaliwa Ukraine wewe....Watwangane wengine Ulaya huko...wateseke wengine Afrika huku..duuh
muda wa kujenga vyoo msitusumbue mabeberu [emoji23][emoji23]
 
Hizo wameshazijulia hamna kitu humo; mrusi akaombe teknolojia nyingine "mpya" kwa madikteta wengine - NK, then Nicaragua, Venezuela, kisha amalizie Belarus. Hope atakuwa ameshinda vita.

Zilitumwa nyingi kama panya washambuliavyo mashamba msimu mbaya ila dawa imepatikana; hata kwa manati zinashushwa.
Wewe huna akili kabisaaa yaani miji imechakaa USA kalalamikia Iran bila kusahau EU wamekaa vikao wanadraft sanctions against Iran kwa ku supply drones kwa Russia na sasa zinaleta madhara huko Ukraine sasa wewe unazomoka ukiwa NAMTUMBO vijijini na kudai kuwa sasa hivi hizo drone zimetunguliwa kwa manati! Usichojua ni kwamba russia walipiga mifumo ya ulinzi wa anga across ukraine kwa kutumia long range cruise misiles na baadae waka deploy iranian drones for finishing ndugu endelea kuota
 
Duh mwaka 2003 El sahafu msemaji wa Sadam alisema mkulima mmoja mjini Tikrit alishusha helicopter ya kisasa zaidi ya Kimarekani kwa AK 47 yake.
So sishangai Kwamba eti geran au shaheed drones kushusha kwa manati.
Au sio

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom