Video: Polisi wampiga na kumuumiza maeneo ya kichwani muumini wa Kanisa la Gwajima

Video: Polisi wampiga na kumuumiza maeneo ya kichwani muumini wa Kanisa la Gwajima

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Kwenye heka heka na Polisi leo, muumini wa Kanisa la Gwajima ameonekana akiwa ameumizwa maeneo ya kichwani baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Polisi. Yaani damu zinatirirka kama maji waku

Kama mnamsikia hapo kuna muumini anasema "Samia utalipa damu hii. Mama Samia popote ulipo, damu hii utailipa, utailipa damu hii. Mungu hajawahi kushindwa. Mama Samia damu utailipa hii"

Ni hayo tu wakuu!
 
Imekuaje hadi apasuliwe?
 
Simkubali Gwajima ila hii imekaa vibaya sana. Kwani wakisali kuna shida gani na mahakama imesema hawajafungiwa? Dikteta wa Romania alianguka kiutani utani, chanzo kumtendea ubaya kasisi aliyemkosoa.

Ila Watanzania nasi tujue ABC za huduma ya kwanza. Unatakiwa kwanza kumfunga kuzuia damu kutoka. Vitu visivyothibitishwa kama mafuta ya breki vinaweza kuwa hatari. Maana kama kidonda ni kikubwa vinaweza ingia kwenye mfumo wa damu na kuleta madhara zaidi.
 
Back
Top Bottom