Video: Polisi wampiga na kumuumiza maeneo ya kichwani muumini wa Kanisa la Gwajima

Video: Polisi wampiga na kumuumiza maeneo ya kichwani muumini wa Kanisa la Gwajima

Warumi 13

13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. 3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu. 4 Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu. 5 Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.

6 Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala. 7 Wal ipeni wote haki zao; mtu wakodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye hesh ima, mheshimu.
 
Jumapili moja walimpiga mlemavu mmoja wa akili alipelekwa na mama yake kuombewa wakawasomba wote na mama yake
 
Warumi 13

13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. 3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu. 4 Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu. 5 Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.

6 Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala. 7 Wal ipeni wote haki zao; mtu wakodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye hesh ima, mheshimu.
Hili andiko mnalitumia vibaya mamlaka itokayo kwa Mungu utenda ya Mungu na sio ya shetani, Mungu anao uwezo wa kukifuta kibali chako ukienda kinyume, mfano umepewa watu uwaongoze hukupewa uwaue,sasa ukiwaua watu utawaongoza kina nani sasa?
Mtawala anapomuacha Mungu na kumbumtia shetani kisa tumbo lake,Mungu umwachia shetani ashughulike nae ,thus tumeona watawala wakiuliwa au kupinduliwa kwa sababu ya kiburi chao kwa kutotii baada ya kufutiwa kibali.
 
Eti alikuwa anapambana ili akasali.
Pale mtu anapotumika bila kujitambua.Unapigwa ngeo kwa kukosa mahalifa.
Ushaambiwa na jeshi la polisi kuwa Gwajima and company limited ndio ina mgogoro, do not show your face on his premises until.....
Subiri mwenye kampuni AMALIZANE na serikali,ndipo nawe ujitutumue.
Pole sana lakini kuwa makini.
 
Wasio na bando wamekumbukwa

Screenshot_2025-06-29-13-24-30-1.png
Screenshot_2025-06-29-13-24-23-1.png
 
Midamu inaweza kuwa mbwambwambwa sema ki K chenyewe kikawa kidogo tu
 
Hana akili Kanisa limefungwa unaenda kufanya nini wakati mchungaji wako Gwajima mwenyewe haji
 
Polisi wa Tanzania bwana eti anapigwa hivyo kisa anataka aswali tu
 
Wakuu,

Kwenye heka heka na Polisi leo, muumini wa Kanisa la Gwajima ameonekana akiwa ameumizwa maeneo ya kichwani baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Polisi. Yaani damu zinatirirka kama maji waku

Kama mnamsikia hapo kuna muumini anasema "Samia utalipa damu hii. Mama Samia popote ulipo, damu hii utailipa, utailipa damu hii. Mungu hajawahi kushindwa. Mama Samia damu utailipa hii"


Ni hayo tu wakuu!
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Mbona Kiongozi wao ameenda Kuchukua fomu leo ya kugombea ubunge?:Wao wanafanya nini hapo?
 
Huu utawala ni wa kishetani kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika Taifa letu.

Hawa watu wanaosali, hivi wana tishio gani kwa itawala wake? Au damu za watu aluzozimwaga zimemwondolea hekima?
 
Back
Top Bottom