MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Noma sana
WasigusweNa huko msikitini unashauri vipi?
We ni mtzania kweliIliagizwa kwamba angalau waumini watano Wauawe, ili kukomesha kabisa mahudhurio yao Jumapili
Duuh ukatili uliopitilizaIliagizwa kwamba angalau waumini watano Wauawe, ili kukomesha kabisa mahudhurio yao Jumapili
Halafu Askofu wao kawahi kuchukua Fomu za Ubunge, wafuasi wanauawaWakuu,
Kwenye heka heka na Polisi leo, muumini wa Kanisa la Gwajima ameonekana akiwa ameumizwa maeneo ya kichwani baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Polisi. Yaani damu zinatirirka kama maji waku
Kama mnamsikia hapo kuna muumini anasema "Samia utalipa damu hii. Mama Samia popote ulipo, damu hii utailipa, utailipa damu hii. Mungu hajawahi kushindwa. Mama Samia damu utailipa hii"
Ni hayo tu wakuu!
Fisadi saa 100Nani aliagiza
Acha unaa we muefeso
NYUMA YAKO AU?mbona imevuja kila mahali! uko nyuma sana
Wenyewe wanasema zamu yao kulipiza.Wakuu,