SI mnadanganywa kuwa ni kisiwa cha amani?Ila kinachoendelea humu aisee
SI mnadanganywa kuwa ni kisiwa cha amani?Ila kinachoendelea humu aisee
Nchi yoyote ukileta za kuleta unakandwa tu.SI mnadanganywa kuwa ni kisiwa cha amani?
Litakuwa kosa kubwa sanaIliagizwa kwamba angalau waumini watano Wauawe, ili kukomesha kabisa mahudhurio yao Jumapili
Dikiteta mkoloni kaburu mama iddy Amin anaitawala Tanganyika kimabavu kama ilivyokuwa kipindi cha makaburu wa Africa kusini , watanganyika wanateswa wananyanyasika Nchini mwao na vibaraka Polisiccm wanashiriki kuwapiga kuwabambikia kesi na uonevu wa kila Aina, bora muungano ufe Tanganyika iwe huruWakuu,
Kwenye heka heka na Polisi leo, muumini wa Kanisa la Gwajima ameonekana akiwa ameumizwa maeneo ya kichwani baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Polisi. Yaani damu zinatirirka kama maji waku
Kama mnamsikia hapo kuna muumini anasema "Samia utalipa damu hii. Mama Samia popote ulipo, damu hii utailipa, utailipa damu hii. Mungu hajawahi kushindwa. Mama Samia damu utailipa hii"
Ni hayo tu wakuu!
Muungano ufe Tanganyika iwe huruDaah aisee huko tunapoelekea ni kubaya zaidi, Tumuombe Mungu aingile kati kwa kweli
Mkoloni kaburu Dikiteta toka Zanzibar anawatesa watanganyika, muungano ufe Tanganyika iwe huruKaa mbali na vile virungu ni mpingo kutoka Mtwara vinalia kama chuma vikitua mahala pagumu kama vile kwenye ugoko, kipepsi, kichogoni, meno, nk
Ninajua ladha yake pale Mwembechai
Muungano ufe Tanganyika iwe huruSasa serikali inakomalia nini kwenye kanisa hilo, si wawaachie tu waumini hao wafanye ibada yao? Wanayemtafuta hayupo hapo, sasa ya nini kuzuia wananchi wasiabudu Mungu wao?
Muungano ufe Tanganyika iwe huru mkoloni kaburu Dikteta arejee kwao ZanzibarWakristu sio wasikivu labda
Fix kabisa na uongoIliagizwa kwamba angalau waumini watano Wauawe, ili kukomesha kabisa mahudhurio yao Jumapili
Wapigwe tu. Stahiki yake.Wakuu,
Kwenye heka heka na Polisi leo, muumini wa Kanisa la Gwajima ameonekana akiwa ameumizwa maeneo ya kichwani baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Polisi. Yaani damu zinatirirka kama maji waku
Kama mnamsikia hapo kuna muumini anasema "Samia utalipa damu hii. Mama Samia popote ulipo, damu hii utailipa, utailipa damu hii. Mungu hajawahi kushindwa. Mama Samia damu utailipa hii"
Ni hayo tu wakuu!
Wapigwe tu mpaka akili zikae sawa.Fisadi saa 100
Acha hizo mkuu.Wenyewe wanasema zamu yao kulipiza.
Kuna mmoja nimemsikia anasema kwa furaha kuwa na wao walipigwa na kuumizwa/kuuawa Mwembechai kwa hiyo ni sawa tu hawa Wakristu wakipigwa.